Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Namba ya whatsapp isiyo ya Tanzania

Ok... Poa mkuu hebu subili ili uone itakuaje... maana naona asaiv Primo wamebadili utaratibu... Namba zmekua za kulipia akati zaman tulkua tunatumia Free tu... Out of charges...

Lakini sidhan kama na kwenye WhatsApp ita expire.... Me nadhan ita expire tu kule kwenye Primo na kuacha kutumika hko ila kwenye WhatsApp nadhan mambo yatakua gud tu.... Sababu hata primo sidhan kama wanajua io namba unaitumia kwingne(kwenye whatsapp) tofauti na kwenye app yao.....
Ipo hivi
Namba ikiisha muda wa matumizi uliopewa na primo, kwenye WhatsApp utabaki nayo lakini kule primo hiyo namba atapewa mtu mwingine hivyo na yeye akiisajili kwenye WhatsApp ndio anakuwa amekunyang'anya hiyo namba, na watu uliokuwa unachat nao wakituma text kwa hiyo namba text zitaenda kwake
 
Nimerudi kwenu wote mlioshiriki kutuelekeza jinsi gani tunaweza kutumia namba ya USA whatsapp bila kupanda ndege kuwaambia asanteni sana tena sana mungu awaongoze katika kila jambo kwani nahisi nimepata njia ya kukwepa kuombwa vocha na madem wa group now ntawaambia nipo USA huku hakuna Haloteli , airtel, zantel wala smart
Mkuu ulifanyaje? Ulitumia njia ipi?
 
99efaf5f92b719c923e5ae890742ab08.jpg

Mimi natumia ya ufilipino... Najihisi hapa Niko Manila na akina Catherine, Yna na lady butterfly tunagonga wine [emoji2] [emoji2]
 
nishatongozwa na namba hizo.au ni wew nini?maana mkikataliwa mnavaa bukta za wazunguuuu
Me nkikutongoza huwezi kukataa maana naweza sana kuimbisha makinika,, huyo itakuwa liescrow moja tu sio mimi
 
Ipo hivi
Namba ikiisha muda wa matumizi uliopewa na primo, kwenye WhatsApp utabaki nayo lakini kule primo hiyo namba atapewa mtu mwingine hivyo na yeye akiisajili kwenye WhatsApp ndio anakuwa amekunyang'anya hiyo namba, na watu uliokuwa unachat nao wakituma text kwa hiyo namba text zitaenda kwake
Hapana mkuu.... Saizi uo upuuzi WhatsApp washau fix wa kuirudia io namba mara mbili kusajiriwa WhatsApp na watu wawili tofauti? Inapigwa BAN ikishatumika ili istumike kwenye account nyingne tena.... Ndio maana unakuta mtu akifanikiwa kupata namba kule kwenye primo na kuja kuiunga whatsapp majibu mawili atagemee kukubali au kukataa na ataambiwa ivi "Your number (+1...........) is banned from using WhatsApp" kama ilshatumika tayari na mtu mwingne.......
 
Nipe hiyo process ya kupata ya ufilipino.
Nenda Google play download application moja hivi inaitwa talk2.... Baada ya kui download ifungue utakuta/utapewa namba ya ufilipino....

Hiyo namba I copy pembeni kwa karatasi... Then kama upo na application ya parallel space unaweza clone whatsaap application hapo...

Then baada ya hapo register kama kawaida... But kwenye kupata code tumia option ya Ku call... Utapigiwa simu then utapewa code inakiri sehemu, register then baada ya hapo utajihisi upo ufilipino mkuu....

All da best
 
Mkuu vipi uarabuni nafanyaje?,kuna manzi ananidanganya eti yupo oman ila post zake naona kabisa yupo hapahapa bongo
 
Nipe maelekezo mkuu, tayar nishadownload hyo virtul
Jisajili na account yako ya fb yaani ukiifungua hiyo app utakutwa ishajieka namba yako then utaklick hapo next alafu chini utakuta pameandika lugha ya trump ikisema unganisha Facebook ukisha maliza usajili utarudi kwenye app virtualsim then nenda setting utakuta sehemu pameandika my phone number hapo ukiklick utakuta umepewa namba mbili Moja ambayo ni yako ya huku TZ na juu kabisa namba ya USA ndo utachukua hiyo kusajilia whatsapp na hapo whatsapp utatumia sehemu ya call ili kupata code zako maana ukisubiri SMS hutopata so ukipigiwa utatajiwa izo code utazijaza whatsapp
 
Mkuu vipi uarabuni nafanyaje?,kuna manzi ananidanganya eti yupo oman ila post zake naona kabisa yupo hapahapa bongo
Application ya kupata namba ya uarabuni sijabahatika kuifahamu mkuu...

Labda tuwasubili wajuzi wengine waje na maujanja na sisi tuweze nufaika mkuu...
 
Nenda Google play download application moja hivi inaitwa talk2.... Baada ya kui download ifungue utakuta/utapewa namba ya ufilipino....

Hiyo namba I copy pembeni kwa karatasi... Then kama upo na application ya parallel space unaweza clone whatsaap application hapo...

Then baada ya hapo register kama kawaida... But kwenye kupata code tumia option ya Ku call... Utapigiwa simu then utapewa code inakiri sehemu, register then baada ya hapo utajihisi upo ufilipino mkuu....

All da best
Kama cna application hyo ya parallel inakuwaje hapo
 
Back
Top Bottom