Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Unacheka kwa furaha? Hauna jipu? Maana kutumbua majipu ndo habari ya mjini.Hehehe niko kanisani kaka, mchungaji kachelewa kuanza ibada nikajikuta humu. Nimekumbuka zamani zile nikacheka kwa furaha
Nakukumbusha hii ni Kwaresma
