Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

Mie nafikiri cha kwanza ni kuwa makini na maamuzi yako.Je ni kweli its the time to quit.Pia ni vizuri ukazungumza na hisia zako,je ni kweli hakuna utakachokuwa ukikimiss baada ya kulivua pendo na kama kipo je hauwezi kucompromise na maudhi unayoyapata.Yaani ukavumilia maudhi huku unapata unachokihitaji,kwani ndivyo maisha yalivyo.Mwisho usijekujaribu kupingana na hali halisi,if its over,it is.Ingawa katika uzoefu wangu nimegundua kutengeneza penzi imara is a process,Iam sure you know it my sister.
uko vizuri mkuu
 
Ndahani nashukuru kwa kunipa moyo ila mh maana kama kuvumilia ni mwngi nimevumilia lakini mwishoni naona nashindwa. kwa nini mimi tu, mimi tu niwe nabembeleza kila siku hata kama makosa kafanya yeye?
mimi tu niwe naumia kwa sabau yake?... kwa nini mimi tu ndo niwe nahangaika to make it work? ... mimi tu why mimi tu? jamani ah
Pole sana dada
 
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....

Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)

Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema

Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh
Shinda kwenye nyumba za ibada. Utapata new direction, new purpose
 
Tuliza mzuka. Umeshafikia uamuzi wa kulivua pendo. Hilo ni kosa la jinai. Katika mapenzi hakuna kukata tamaa. Chukua hatua ya kwenda mbali na hapo, ukakae kimya kidogo kuutuliza mfadhaiko ulioupata.
Wapo waliokuambia ati tafuta kipoozeo, hapana. Tulia kwanza. Najua sio rahisi ila, chukulia kwamba; Alifariki ghafla tu. Harudi tena. Sasa ukiweza hilo, jiulize kuwa chanzo ni nini?? Usiende papara. Kama ni weye, jipange upya namna ya kuomba msamaha. Kama ni mwingine yaani mchepuko, jipange namna ya kurudi home uulize ulichokosea hata akachepuka. Uliza kwa utaratibu bila mihemuko. Usimtume mtu yeyote kukuulizia au kukuombea msamaha.
Ukinyenyekea na kujifanya zoba utarudi home. Ukiisha rudi home, anza sasa kujiimarisha namna ya kujibu mashambulizi ukiwa kwako. Usijibu mashambulizi ukiwa nje ya nyumba yako baby. Hutakaa ushinde ukiwa nje ya nyumba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom