Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

Am telling you you are very very right.
Haikuwa rahisi kabisa but nimesonga mbele dadangu

(Haya irudishe upesi ulipoifukua hii thread)

Kwa hiyo sasa hivi hujalivaa?
Au umevaa ukiwa tayari kuvua.....
Anyway....hiyo dedication ya GY ndo mahali pake.....sail on!
😎 thredi ina miaka mitatu....
 
pole sana jaribu hata kuwashilikisha hata rafiki zake kama unajulikana pande zote kwa wazazi upate ushauri zaidi
 
Kuvaa ukisubiria kuvua ndo mpango mzima. Nani anataka surprise? Ukiona paka analia nyau ujue kaona samaki, na mbwa akitikisa mkia tu unaangalia macho yake yalipo
Kwa hiyo sasa hivi hujavaa?
Au umevaa ukiwa tayari kuvua.....
Anyway....hiyo dedication ya GY ndo mahali pake.....
😎 thredi ina miaka mitatu....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: RR
Hahahaaa...
Au unavaa huku una la spea mahali....yaani unavua gamba unavaa gwanda...:becky:

Kuvaa ukisubiria kuvua ndo mpango mzima. Nani anataka surprise? Ukiona paka analia nyau ujue kaona samaki, na mbwa akitikisa mkia tu unaangalia macho yake yalipo
 
settle ur mind,am facing the same situation. Ila duuu inaumiza acha tu,i believe everything wil be ok one day,
 
Kama Nelson Mandela alitengana na Winnie kwa nini wewe uogope?Hivi unafikiri mandela angeendelea kuwa na winnie si angekuwa ameshakufa na stress?
 
Kama ni kijana na una nguvu zako.. Naamini pendo linavulika kiurahisi tu hasa ukizingatia maamuzi ya kulivua hayaji ghafla... Ni maumivu ya muda mrefu yanapelekea hii hali.. Pia naamini maamuzi yanaletwa na jambo kubwa ambalo ni gumu kuvumilika...
 
mletee fuso beba kila kitu..itasaidia kuleta amani kidogoo#getbacktheory
ila pole sanaaa
nothin to do,,hope mda upite haraka,,jishugulishe,,ka saini gym,,,usikae idol..kama wazazi wapo,,rudi nyumbani ukajipange
 
Habari
Leo naungana na dada yangu Mwasity katika kile alichokiimba.....

Leo nalivua pendo, nililopenda zamani
Nabadili wangu mwendo, nami niwe furahani
Nimechoshwa na vitendo, visa na purukushani
Kweli mapenzi uvundo, apendwapo hathamini (By Mwasiti)

Hivi unapofikia hatua kama hii
1. Nini cha kufanya ili uendelee kuwa strong?
2. What to do ili isikusumbue (the quilty concious)
3. Ufanyeje ikusahaulishe mapema

Nauliza tu ndugu zangu maana...................mh

Pole sana MwanajamiiOne muombe mungu akuepushe usipatwe na mtu mwingine atakaye kuletea majangaaaa, tafuta activities like nenda movie soma novels etc. Pia punguza nmawasiliano na hilo janga lako lisije kukuongezea stress zake
 
Hv bado wanaendelea kubreak tu tangu 2009...me nadhani yalishapita hayo funga mkanda tusonge mbele.....
 
Mu hali gani wanajukwaa....

Kichwa cha topic kinahusika..... Kuna huu wimbo wa Mwasiti huwa naupenda sana "hasa katika nyakati kama hizi" Naomba mwenye lyrics zake anitupie hapa.

Wakati huo mkuu BAK akitupia Ma-Youtube.

Kisha tutaendelea na mada.......

I AM FED UP!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtumikie Mumba wako siku za ujana wako.Kwa Mungu ndiyo kuna raha ya milele na siku zote hutapungukiwa na kitu.
 
Kama nakuona vile japo umeamua mwenyewe lakini kila unachofanya unajilazimisha.

Ndio maisha baada ya hilo lazima maisha yaendelee b strong
 
Pole, baada ya muda utagundua ni good riddance baada ya kumpata bora kuliko huyo kichomi

Na wewe..........tayari umeshahukumu!

Ila bana unaweza kusoma mahali halafu 'flash back' ikapiga kichwani paaa, ukajua ni kama yuleyule wa kwangu.
'Najaribu tu kufikiri'!!:tape::tape:
 
kWANINI TUNAKUWA WEPESI WA KUFIKIA MAAMUZI YA kULIVUA pENDO? Imagine wazazi wetu wangekuwa wepesi kama kizazi hiki leo hii sisi tungekuwa wapi? Na kwanini ulikimbilia kumpa pendo lako mapema kabla ya kumfahamu vizuri alikotoka? Do you think ukishalivua Pendo huko uendako ndio mambo yatakua mazuri? Wanaume wote wana tabia moja the same to wanawake wote wana tabia hio hio moja. Kikubwa Muombe MUNGU na learn to deal with your own business.

Nakuomba sana usilivue Pendo hata kama uko na Kibaka au Jambazi
 
Mtumikie Mumba wako siku za ujana wako.Kwa Mungu ndiyo kuna raha ya milele na siku zote hutapungukiwa na kitu.

Ameen mkuu... Tena leo ntaenda kwa ibada nkatubu mazambi!!!

Hebu ngoja nijikumbushe huu wimbo....

"Huyo Shetani mbaya, sirudi nyuma naenda na Yesu x3"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom