Nalivua pendo...

Sielewi, wameneutrelize kabisa issue ya CL. Na kuna mithread mingi isiyo na deal inaevolve kila siku hawafanyi kitu ingawa ilishajadiliwa kitambo.

Anyway let's just abide with it...naona hata mdada CL kaona ni vyema asome na hayo yaliyomkuta mdada mwenzake
 
Mna watoto?.,Kitendo cha kurudi nyumban asubuhi that means anamtu( mwanamke alikuwa naye),My dia huyo ana mwsnamke anamchanganya na kumpa jeuri, I knw ni jinsi gani unaumia kwa hilo na hata akiulizwa anakuwa hana sababu ya msingi ya kueleza makosa yako ambayo anaona unamkosea.
Mpe muda muache peke yake na nahisi ataona ndo muda muafaka wa kuishi na huyo anayemuona wa maana kuliko wew, Ila ipo cku atakukumbuka tu.
Tatzo wanaume wanadanganywa sana na wanawake wanaokutana nao tu kwa ishu ya kuspend na kufanya ngono.ila cku akiamua huyo kimada kumuweka ndan amfulie, ampikie na kaz zote za ndani ndo atamjua vizuri yeye ni nani atakavyobadilika.
 
Anyway let's just abide with it...naona hata mdada CL kaona ni vyema asome na hayo yaliyomkuta mdada mwenzake

Sawa, lkn unaona sympathy na maswali yanakuja kwa Mwanajamiione ambaye she is already past it; in a way wanamkumbusha si ajabu asotaka kukumbuka.
 
Hapa tunashauri three in one, topic moja watu watatu, Mwanajamii one, Da pretty na Charming. Watu hapa wanachanganyikiwa wengine wanasema mbona maada ya siku nyingi! Mwanajamiione yake ni ya 2009, ila leo Charming nae katoa ya kwake inafanana na hiyo ghafla imeunganishwa na Mwanajamiione kwa hiyo Charming haonekani tena, hapa naona wanaoshauriwa ni Mwanajamiione na Da Pretty inachanganya. ngoja niende kwanza halafu narudi kutoa ushauri
 
Nipo mamie, nimeusoma uzi wote tangu mwanzo jinsi walivyomshauri MwanajamiiOne, nimejifunza kitu! Ila unaweza kuendelea kucomment tu!
 
Last edited by a moderator:
Nipo mamie, nimeusoma uzi wote tangu mwanzo jinsi walivyomshauri MwanajamiiOne, nimejifunza kitu! Ila unaweza kuendelea kucomment tu!
Angalia hapo juu hata Nyamayao kasema ngoma ya 2009, watu hawajui kama hii kitu imemsibu leo mtu ujue!
Haya mamy kwanza pole sana, lakini huajaanza wewe kuvua hilo pendo kila siku watu wanavaa na kuvua, hata huyo uliyemvua nadhani alishavuliwa na wengine zaidi yako, Kwanza kubali kilichotokea, jipende mwenyewe, penda kufanya mambo ambayo unayapenda au ulikuwa unayapenda kuyafanya lakini alikuwa labda anakuzuia, jiambie huyo alipangwa aje kwa mda mfupi tu ili akupe somo/exprience then aondoke, Amini kuna mtu anakupenda sana na ndo aliyepangwa na Mungu ipo siku utakutana nae. Kitakachokusaidia umsahau futa no zake zote za simu, hata sms alizowahi kukutumia futa, ili usijaribu hata siku moja kumpigia, ukiweza hilo baada ya wiki 1au 2 hivi utaanza kuzoea na kumsahau, Penda sana kujichanganya na marafiki, pendelea kwenda sehemu ambazo unazipenda. ngoja kwanza niishie hapa nitarudi
 
miss wa kinyaru, mie nimemjibu huyo mwanaa wa adam, coz yeye ka qoute kitu cha long time sana, ya charminglady sijui imechomekwa kwa wapi katika huu uzi kwa kweli.
 
Sawa, lkn unaona sympathy na maswali yanakuja kwa Mwanajamiione ambaye she is already past it; in a way wanamkumbusha si ajabu asotaka kukumbuka.

Hata mimi niliwaza hivyo rafiki, ila bahati mbaya sijui namna hawa viranja wafanyavyo kazi zao...
 
miss wa kinyaru, mie nimemjibu huyo mwanaa wa adam, coz yeye ka qoute kitu cha long time sana, ya charminglady sijui imechomekwa kwa wapi katika huu uzi kwa kweli.

Leo CL aliweka uzi wenye title kama ya MwanajamiiOne ya mwaka 2009, mods wamezimerge...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…