Nalivua pendo...

Nalivua pendo...

hahahah!

mj1 "teeeeeeeeiiiiinaaaaaaaaaaaaaaaa"....!'And say it loud.
 
Historia ipo hapo kwa kujifunza. Trust me, wewe ni mmoja wa wanawake ninaowaheshimu sana kwa kuweza kufanya maamuzi magumu yenye manufaa! Niliusoma huo uzi ulipouweka tuu, I was on bed still and there was trouble on paradise. Niliuimba huo wimbo kutwa nzima hadi kikawekwa kikao cha dharura manake mtu alijua naachwa kwa kosa la kutoleta mboga hahaha! Aaah, mi ntakupoa hongera tu kila siku, you empower others not to take no bullshit from no one!
Hahahahahaha King"ast usinifanye nikachukiwa na Mwasiti bure. Yeah very empowering maana nakumbuka nililotendwa siku ile asubuhi nikiwa naelekea kazini na nilipoanza kujiuliza hivi ninaganda hapa kwa kitu gani hasa, ndo Radio Clouds wakaachia hiki kipande, nikajikuta nasikiliza hadi mwisho! , by the time nashuka kwenye gari, tayari nilishaamua vya kuamua.

Tena nakumbuka siku ile niliipost ile thread asubuhi yaani kitu cha kwanza baada ya kuketi ofcn...... huku machozi yakintoka ah! Jamani alovumbua mapenzi mpeni tu sifa yake.

Afu we Da Pretty ndo nini ku-baby comisha pasts bana??
 
tiba si kulivua pendo, i think Daudi Kabaka aliona mbali zaidi

msichana wa sura nzuri,
kitu gani kinakufanya usiolewe,
Elimu unayo ya kutosha, hata ng`ambo ukaenda ukarudi,

Msichana wa urembo kama wewe,
Uonyeshe mapenzi kwa vijana,
Ukionyesha majivuno kwa vijana,
utazeeka ukiwa nyumbani kwenu,

miaka yaenda mbio sana,
Na sura yako nayo ikichujuka......ooh baby

Pengine tabia zako ndio mbaya,
Awali kweli dada ulijivuna,
kwanza mimi nilitaka nikuoe,
ukaringa ati sina masomo,

Ona watoto wa nyuma yako,
wameolewa wamekuacha ukiangaika....
 
Livae rafiki, likikutosha Raha sana
Likikupwaya litengeneze likufit,
LIKIKUBANA LIVUE...
 
Da pretty, naamini ni wimbo tu and got nothing to do with ur story ( sipendi ku-assume aisee,lol!)

MwJ1, naona kama tukupe-copiraiti ya huu wimbo! Naupenda sana wimbo huu (sijui nna kichaa, napenda pia ule wa whitney 'do it on my own').
Its very empowering!

King'asti, Hata mimi nataman ihuu wimbo usingenihusu kwa sasa... Ila ndio hivyo tena
 
Hahhahhah Teamo, Teamo eti Baby Come Back mwe!! na isingekuwa JF angenicomisha Back aisee, ile timing yake ilikuwa mbaya kweli, peke yangu nisingeweza aisee.

Well unadhani kuna maexperience yoyote ya kufundishana?? hakuna aisee yaani ngoma hii ina jina moja lakini mirindimo yake ni tofauti kabisa kwa kila mchezaji.

Hapo ningeweza ningegonga like 3!
 
Afu we Da Pretty ndo nini ku-baby comisha pasts bana??

MJ1, hivi ni vijimambo... vipo kila siku!!
 
Sipati picha baada ya kulivua hilo whats next, usije ukavaa kaniki?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom