YNNAH
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,706
- 974
ulipotelea wapi mpendwa?
Mie nipo..
ulipotelea wapi mpendwa?
kweli, ngoja nikasafishe kwanza kinyota kwa babu! nimesikitika sana!pole sana TheDealer kwa mara nyingine wakosa kimwana nna wasiwasi nawewe embu kasafishe nyota yako
Yametoka moyoni mwako hayo maneno?
Thanxs dia, Nakuhaidi kukupenda kwa moyo wangu wote. Baba V awe tayari kwa ajili ya usajali wa ndoa hii au keshapinduliwa?
TheDealer upo? na hapo umekosa
Masaa yatapita, siku zitapita, miezi itapita lakini naamini neno NDIYO litatokea kinywani mwa mrembo Arabela.
utasubiri sana mpaka utaganda kwa barafu ya baridi sijui .......... ila nisikuvunje moyo wewe endelea kusubiri ugande kwa barafu ya kilimanjaro kama ...........................?
nambie mwenzio yaliyonikuta sasa nanuniwa, sipokelewi kama zamani, sisalimiwi, wala zile salamu za usiku sipewi na isitoshe hata lile kiss takatifu limekuwa adimu siku hizi yaani full kuangaliana tu pale sebuleni bila hata kuongea unafikiri ndoa mchezo yatashinda bure kalaghabao
Arabela&Nitonye mmeendana