Nalisubiria neno NDIYO kutoka kwa Arabela

Nalisubiria neno NDIYO kutoka kwa Arabela

Ayaaaaaaa again imekula kwangu! i lost again! maskini TheDealer! yaaahhh hadi kijasho kimenitoka!
Ila najua nitonye amefanya haraka baada ya kuona spidi yangu kubwa ya kumnasa Arabela, anyway i lost again!

pole yako, wapo wengi humu endelea kutafuta
 
Last edited by a moderator:
Jomba utasubiri sa meli JKNIA , mbona hilo alishalitamka kwangu mwenyekiti wako siku nyiiingi....
c.c Arabela🙂

Ndio maana ulitaka kupinduliwa unaingilia sana ndoa za watu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom