Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,642
- 55,266
Usikate tamaa
Wahaya si unatujua mdogo wangu....Tunavupenda mijisifa na kujisifia kukuambatana na utekelezaji wa mijisifa yetu.
So utafaidi mdogo wangu....dhahabu utavaa, madera utavaa...mijipesa utapata napenzi ya ukweli pia utayapata.
Lakini jeee? Kahawa utaweza kutafuna? Rubisi utaiweza? Senene je? Michemsho ya samaki maharage toke, nyanya vitungu na samli kwa pamoja bila kukalangizwa? Kumbi kumbi je Kubwa kabisa katere..ro jeee?
Kuhusu heshima, tabia njema na uadilifu sina wasi wasi nawe.
WELCOME TO KAGERA
CC nitonye, Bishanga KakaKiiza, Kipipi Dark City na wahaya wotoote.
Tumepata wifi shemeji.
ccc Filipo, Kaizer ile mipango yenu ime fail.
[/QUOTE]
TheDealer dia take it easy
ntaweza sis unajua maji ukiyavulia n.g.u.o shurti uyaoge. Bahati iliyoje me kupata mume muhaya
Kaka shemeji na mdogo wifi
So sad! nina majonzi sana!
every thing will be okey, pokea busu la asubuhi my wife
raha eh kuvua nguo?