Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Kibanda,
Mkuu wangu nikuulize.. wewe unasema ni mwandishi wa habari au sio? inakuwaje wewe huyo huyo unakuwa mtetezi wa Mnyika na Mrema dhidi ya Zitto wakati sidhani kama unaelewa hisia za hao watu.
Kama mwandishi mzuri kwa nini suikimbilie kwa Mnyika na Mrema ukawasikiliza wao wenyewe wanasema nini badala ya wewe mkuu wangu kuendeleza tungo zako ambao hazimsaidii mtu yeyote yule. Mkuu enough! unachosha sana yaani kama mimi ningekuwa Mbowe au mhariri wa Daima basi huna kazi!..
Reporter siku zote huandika maelezo ya watu na sio yake yeye kwa jinsi anavyojishirikisha ktk scandal kisha anakuwa mwandishi.. Haya ni matumizi mabaya sana ya madaraka sawa na Fisadi ambaye anatumia vibaya madaraka yake. Kama wewe ni mwandishi bakia kuwa mwandishi na kama unaandika kama Kibanda zungumza kama Kibanda mpinzani wa Zitto na ukubali kukosolewa pia.
Ameshatupiwa tusenti na vijisenti huyo!! Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni!!
Si unajua wakati wa mavuno kwa waandishi makanjanja uchwara unaingia na kwa wale editors wanaotumikia mafisadi badala ya waajiri wao na jamii inayoiandikia??? Naona campaign za mwaka 2010 zimeanza mapema sana!!!