Naliona anguko la Kibanda

Naliona anguko la Kibanda

Mkuu Kibanda, maandiko yako mengi makali makali nimekuwa siyapendi na yamekuwa yakinifanya niumie sana. Maandiko ya baadhi ya wengine pia yameniumiza zaidi kwa kuwa yamezidi kutia moto kwenye petroli, lakini maneno hayo hapo juu yamenipa faraja kubwa na yanahitaji KUFANYIWA KAZI na sote humu JF. Bahati mbaya kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu (mawasiliano duni) nakosa nguvu ya kujadili kwa uzito unaostahili.

Ndugu yangu Halisi moto ni upi na petroli ni ipi? Hivi Nimesoma sana na kukaa kimya muda mrefu wakati watu wakiweka thread zenye majina yetu. Kimsingi nimesikia ushauri wako ulionipa kwa maandishi na kwa mdomo. Kila ninapoamua kuchangia nafanya hivyo nikitumia maneno laini. Hata hivyo upo wakati wa jiwe kuitwa jiwe badala ya kumung'unya maneno.

Niko tayari kupokea tuhuma za kweli na kimsingi niko tayari kuomba radhi hata katika mambo yangu ambayo pengine yanawakera Watanzania wenzangu wanaoipenda nchi yao kwa dhati.

Tuache wenye hoja za kweli wazitoe hata kama kwa kufanya hivyo tutaumizwa. Siwezi nikawa mtu wa kufanya uchambuzi katika gazeti halafu nikawa mwoga wa bakora. Maji nimeyavulia nguo sina budi kuyaoga.

Hata hivyo siko tayari kuona watu wanajaribu kuosha wenzao kwa maji taka halafu Halisi ukategemea mimi nikae kimya kwani hata Mzee Sitta ambaye aliwaasa wanasiasa kuwa na ngozi ngumu, yalipomfika yeye mwenyewe aliweka kando kijikanuni chake hicho na kuamua kupambana. Huo ndiyo ukweli. Nimeshindwa kuisoma private msg yako kwangu. Haikufunguka.
 
Ndugu Kibanda, msalimie rafiki yangu Lwitiko.
 
A little while ago one of the cream of analytical politics of Tanzania had this to say with regard to the so called Kibanda;

Baada ya mashinikizo, vitisho, vitimbi na kejeli za kila aina kutoka kwa "Mhariri mtendaji" wa gazeti la TanzaniaDaima Absalom Kibanda hatimae Zitto Kabwe ame succumb to the pressure na kuondoa jina lake kwenye kinyang'anyiro cha ugombea wa uenyekiti wa Chadema.

Tukirudi nyuma kidogo na kuangalia mlolongo wa matukio kuelekea Zitto kujitoa, jina la Bwana Kibanda linachomoza mithili ya mnara wa kuongozea meli bandarini.

Huko aki defy obvious principles za conflict of interest Kibanda akishirikiana na "Baba mkwe" mzee Mtei wameweza kum bully Zitto na hata kufikia kujaribu "kumhonga" cheo (kama alivyonukuliwa Zitto mwenyewe).

Kibanda amei aibisha fani ya uandishi, yeye mwenyewe, Mbowe na Chadema kwa ujumla kwenye sakata hili ambapo demokrasia imechinjwa wazi wazi mchana kweupe.

Unless Kibanda anafikiri atafanya kazi TanzaniaDaima maisha yake yote labda ndio amefanya hayo aliyo yafanya lakini kama kutakuwa na maisha nje ya TanzaniaDaima basi what we have seen is just the beggining of the end of Absalom Kibanda.

Time will tell....
masatu,
i hope taswira ya hilo ''ANGUKO'' imepotea kabisa kwa sasa.
karibu kesho kwenye maandamano ya amani yenye dhima ya ''mshikamanol ndani ya chama''
ubarikiwe sana mkuu
 
Ndugu yangu Halisi moto ni upi na petroli ni ipi? Hivi Nimesoma sana na kukaa kimya muda mrefu wakati watu wakiweka thread zenye majina yetu. Kimsingi nimesikia ushauri wako ulionipa kwa maandishi na kwa mdomo. Kila ninapoamua kuchangia nafanya hivyo nikitumia maneno laini. Hata hivyo upo wakati wa jiwe kuitwa jiwe badala ya kumung'unya maneno.

Niko tayari kupokea tuhuma za kweli na kimsingi niko tayari kuomba radhi hata katika mambo yangu ambayo pengine yanawakera Watanzania wenzangu wanaoipenda nchi yao kwa dhati.

Tuache wenye hoja za kweli wazitoe hata kama kwa kufanya hivyo tutaumizwa. Siwezi nikawa mtu wa kufanya uchambuzi katika gazeti halafu nikawa mwoga wa bakora. Maji nimeyavulia nguo sina budi kuyaoga.

Hata hivyo siko tayari kuona watu wanajaribu kuosha wenzao kwa maji taka halafu Halisi ukategemea mimi nikae kimya kwani hata Mzee Sitta ambaye aliwaasa wanasiasa kuwa na ngozi ngumu, yalipomfika yeye mwenyewe aliweka kando kijikanuni chake hicho na kuamua kupambana. Huo ndiyo ukweli. Nimeshindwa kuisoma private msg yako kwangu. Haikufunguka.

Kama hoja za kweli alivyozitelemsha Zitto na jiwe kuliita jiwe yani UMANGIMEZA.

safi sana.
 
Ndugu,

Rostam hakuwahi kumsaidia Raila Amolo Odinga kwa sababu kama ni fedha huyu Jaluo ana pesa ya kutosha na elimu ya maswala ya kisiasa na kijeshi zaidi ya Aziz. Leo hii ni partner na matajiri wa Afrika kama Cyril Ramaphosa.

By the way, RA kwa kenya hajafikia hata level ya Joe Michuki ambaye anamiliki benki ya Housing and Finance ambayo ni kubwa zaidi ya CRDB.

Raila kwa hapa Tanzania ana uhusiano na familia ya akina Odemba na Magufuli Pombe aka Masamaki, lakini sio RA. Haitatokea hata siku moja mpiganaji wa level kama ya Odinga awe partner wa RA.

Fanya utafiti usikurupuke tu kwa vile internet iko free. Utajiri binafsi wa Raila ni wa kutosha kwani licha ya kurithi mali toka kwa babake pia anayo makampuni ya kibiaeshara ndani na nje ya Kenya. Huyu sio kibaka
hAKUNA ALIYESEMA KUWA RAILA ANAFANYA BIASHARA NA ROSTAM AZIZ. Tulizungumzia fedha zilizopelekwa kusaidia kampeni za ODM kwenye uchaguzi wa kenya kutoka kwa Rostam Aziz. Tunajua Rostam hana fedha nyingi hivyo lakini zile alizokwapua kwenye EPA alizitumia kufadhili chaguzi mbalimbali ukiwemo uchaguzi wa Kenya. Watu wengi wangetaka kujua habari hizi za Rostam na kupenyeza fedha kwenye chaguzi akijipendekeza kwa kivuli cha kusaidia viongozi wenye muelekeo wa kimaendeleo. Viongozi aliowasaidia kwa namna hiyo hawawezi kukana huu ukweli. Ni christopher Mtikila pekee aliyejaribu kumkana Rostam akaumbuliwa kwa kuchapishwa hata risiti aliyopokelea fedha hizo.
mimi naliona zaidi anguko la Tanzania kuliko la Kibanda na Zitto kama hatutabadilika.
 
Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo?

Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo, na namba zinafuatana?

Mi nimesikia tu naomba jibu
 
masatu,
i hope taswira ya hilo ''ANGUKO'' imepotea kabisa kwa sasa.
karibu kesho kwenye maandamano ya amani yenye dhima ya ''mshikamanol ndani ya chama''
ubarikiwe sana mkuu

Baba mkwe karidhia maandamano?
 
Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo, na namba zinafuatana?

Mi nimesikia tu naomba jibu

Uwiiiiiiiiiiiii.... Bongo ni zaidi ya uijuavyo!!!, au jungu tu hili???
 
Ndugu yangu Mkandara wewe mwenyewe unakiri kuwa mimi ni mwandishi wa habari halafu unaniuliza ninajuaje juaje hisia za Mnyika na Mrema?. Hiyo ni moja ya kazi za mwandishi wa habari. Ninazijua hisia zao kwa sababu nimefanya nao mazungumzo ya ana kwa ana kuhusu suala hili zima akiwamo na Zitto mwenyewe.
Duh, sasa ikiwa wewe ni mwandishi na umefanya mazungumzo na huyo Mnyika na Mrema, kwa nini usinukuu (quote) maelezo yao wao badala yake wewe ndiye msemaji mkuu....
Uandishi gani huu tena mkuu wangu yaani wewe unashika nafasi tatu za watu kwa wakati mmoja!...
 
Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo, na namba zinafuatana?

Kwa RA hakuna linaloshindikana!!! Jamani kumbukeni makala za kibanda kumsafisha huyo Fisadi wa Kagoda wakati alipotuhumiwa kuwa ni Fisadi papa. Kibanda alimsulubu RAM bila kujali kuwa ni mchaga wa kwao na bosi wake Mbowe, akaungana na vibaraka wote wa Rostam kuonyesha kuwa hagusiki!! kuna ka uwezekano maana rostam aziz effects in tanzanian politics is substantial
 
Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo, na namba zinafuatana?

Mi nimesikia tu naomba jibu

Swali hili lilikuja katika thread ya 'Naliona Anguko la Zitto Kabwe' na nikalijibu tena. Soma. Huu ni uzushi mtupu. Tumefikia hatua ya kumfanya RA kuwa ni Mungu Mtu ambaye kila kitu yuko nyuma yake. Ninalifahamu gari la kaka yangu na rafiki yangu Muhingo na namba hazifuatani. Uongo 100%. Si utafutwe uongo mwingine ninyi vijana wa CCM?
 
Mimi naona anguko la Tanzania kwa jinsi njaa zetu zinavyotawala misimamo yetu kuliko anguko la Kibanda na Zitto Kabwe. Wewe Fikiria, kama Fisadi mmoja anweza akanunua viongozi wetu kwenye vyama vya siasa kwa kuwasaidia kwenye chaguzi zao, unategemea nini???? Tena huyu bwana anajua anachofanya maana anaamini katika kumwagilia miche yote kwani hajui mche utakao chipua!!
 
Mbona inasemekana kwenye hilo gari moja kuna mkono wa RA hata mkanunuliwa magari ya kufanana na Muhingo, na namba zinafuatana?

Kwa RA hakuna linaloshindikana!!! Jamani kumbukeni makala za kibanda kumsafisha huyo Fisadi wa Kagoda wakati alipotuhumiwa kuwa ni Fisadi papa. Kibanda alimsulubu RAM bila kujali kuwa ni mchaga wa kwao na bosi wake Mbowe, akaungana na vibaraka wote wa Rostam kuonyesha kuwa hagusiki!! kuna ka uwezekano maana rostam aziz effects in tanzanian politics is substantial

Acha hizo sina jeuri wala rekodi ya kumsulubu RAM. Huyu mtu anafanya biashara zake, hajapata kushika public office, sina ushahisi hata mmoja wa tuhuma dhidi yake. Usikurupuke. Pili mimi ni Mnyakyusa wa Rungwe na si Mchagga, achana na mambo usiyoyajua. Sijapata kuandika makala ya kumtetea Rostam.
 
Kibanda,
Kama si wewe uliyeandika makala zile kwa pen name basi uliruhusu gazeti unaloliongoza kumshambulia mtu aliyetoa changamoto za kusaidia nchi yake. Gazeti lako, magazeti ya serikali ya sisiem na magazeti yake RA yalikuwa ndiyo vinara wa kumshambulia RAM. Ni lazima ujisafishe, vinginevyo umma unajua kuwa wewe uko kwenye payroll ya Fisadi yule. Na rangi yako halisi itaonekana hivi karibuni.
 
Naomba nichukue fursa hii kukupongeza Kibanda kwa makala iliyomfanya Zitto kujifikiria mara mbili na kuachia ngazi.Mwanzo ni miongoni mwa waliokulaumu na kufikia kukuona unajikomba kwa boss, lakini kwa vile angalizo lako limeepusha shari, then unastahili pongezi kwa kuwa na kalamu very powerfull.Pongezi zangu zinahusu tuu power ya pen being mightier than a sword na umejijengea heshima zaizi kuwa kalamu yako inakata kama upanga wa makali kuwili.Kwa upande mwingine, lets get back to facts, facts are sturbon things, kwa vile angalizo lako kuhusu kuanguka kwa Zitto lilikuwa based kwenye uoga, na limetimia kwa Zitto kujitoa. Ni kama ukweli wa kuona anguko lake maana sasa Zitto ni puu...chini!, naomba kesho uiendeleze makala kwa kuandika yatokanayo. Mimi binafsi naamini Zitto ni genuine na aliamini anaweza kuisaidia Chadema kulivua koti la Uchagga na kuivisha mavazi nadhifu ya usasa, kumbe ndio kwanza wezee wameiongezea blaketi la bibi kudumisha mila!.Kama kweli Zitto ni mtu wa msimamo, naomba niwe wa kwanza kuwadhibitishia, yuko njia moja, ila anasubiri tuu wakati muafaka.Udumu Kibanda, Kidumu Chadema, Ikulu ilee...!

He is not genuine...na wala hana nia njema ya kuisaidia Chadema.......alichokifanya anakijua na njaa yake imemponza, ni msaliti. Na nilishawahi kuandika ...Chadema wako makini wanajua wanachokifanya, wamemtoa kidiplomasia na ikibidi asipewe uongozi.
 
Acha hizo sina jeuri wala rekodi ya kumsulubu RAM. Huyu mtu anafanya biashara zake, hajapata kushika public office, sina ushahisi hata mmoja wa tuhuma dhidi yake. Usikurupuke. Pili mimi ni Mnyakyusa wa Rungwe na si Mchagga, achana na mambo usiyoyajua. Sijapata kuandika makala ya kumtetea Rostam.

Kibanda

Heshima mbele, nimekufurahia umekuja hapa nakuweka mambo bayana, vinginevyo tungelishwa sumu sana na wajuvi wa mambo. Nakupongeza sana kama yote uliyoandika kwenye thread hii yana ukweli wa asilimia 100%

Bravo

Mzee Masa
 
..Wazee wa Chadema watafute mbinu ya kuwaondoa hawa vijana wao taratibu.

..binafsi nadhani Zitto, Mbowe, na makundi yao hawafai kuongoza Chama wala nchi.

..Chacha Wangwe niliona ana matatizo, lakini kwamba walikuwa wanatumia njia chafu kupambana naye inaonyesha kwamba wao wana matatizo zaidi.

..nachukia sana watu wanaoshiriki kwenye siasa chafu-chafu za majungu-majungu.
 
Kibanda

Heshima mbele, nimekufurahia umekuja hapa nakuweka mambo bayana, vinginevyo tungelishwa sumu sana na wajuvi wa mambo. Nakupongeza sana kama yote uliyoandika kwenye thread hii yana ukweli wa asilimia 100%

Bravo

Mzee Masa
Masanilo aka Ze Comedy ni kibaraka ambaye yuko tayari kujidhalilisha ili tu apate nafasi ya kusalimiana na spika na kutokea kwenye reports za kamati.
 
Acha hizo sina jeuri wala rekodi ya kumsulubu RAM. Huyu mtu anafanya biashara zake, hajapata kushika public office, sina ushahisi hata mmoja wa tuhuma dhidi yake. Usikurupuke. Pili mimi ni Mnyakyusa wa Rungwe na si Mchagga, achana na mambo usiyoyajua. Sijapata kuandika makala ya kumtetea Rostam.
KIBANDA HUKUMTENDEA HAKI ZITTO.JEE VIKONGWE HAO WANNE WALIOMZUIA ZITTO WALIPATA NGUVU HIZO WAPI?KIKATIBA HAWANA NGUVU HIYO NAOMBA ANDIKA HABARI HIYO KWENYE MAKALA ZAKO.
 
Back
Top Bottom