Kwa kazi hii uliyomfanyia Mbowe(Mkurugenzi wako) ya kummaliza Zitto sidhani kama deni alilokukopesha atakudai tena.
swali jee makala haya ya kumchafua Zitto kabwe na kina KITILA ndio ulikuwa unataka huruma ya MKURUGENZI WAKO juu ya deni alilokukopesha?
KIBANDA umewahi kuandika makala kwenye Tanzania Daima juu ya siasa za Mbeya na Makundi yaliyopo kumsakama Mwandosya naomba ubishe hili?
jana hukuonekana hapa jamvini au ulikuwa kwenye PARTY ya kupongeza ya kamati ya Mbowe?
Kanda 2 tangu ulipospin thread yako kwamba namsakama Zitto na kisha nikaona michango yako mbalimbali ndani ya thread hiyo mara moja nilibaini kwamba wewe ni miongoni mwa vijana wajinga niliokuwa nimewataja ambao waliamua kumuunga mkono Zitto.
Jana Zitto amethibitisha uchanga wake katika JF. Your chairman material anatamba kwa kusema kuna vijana ndani ya Chadema kama Mnyika na Mrema wanamuonea wivu kwa sababu ya umaarufu wake. Hiki ni kichekesho na utoto wa mwaka ambao unaweza kushangiliwa na wajinga kama wewe kandambili peke yako na wajinga wenzako.
Endelea na kejeli zako za Kigoma lakini ujue kwamba hatua ya kwanza ya Anguko la Zitto imeshatokea, amezuiwa kuibeba ajenda ya kuwanufaisha maadui wa Chadema. Amethibitishiwa tu kwamba kumbe umaarufu si kila kitu katika siasa. Wazee wametumia busara na kwa taarifa yako katika kikao cha hao wazee mchagga ni Mzee Mtei mnayemsakama.
Tulishagundua ujinga wenu kwamba mnatumiwa pasipo ninyi wenyewe kujua. I'm a man of principles, sina sababu ya kushangilia ujinga na utoto kama huu ambao mnaufanya wewe, Zitto na wenzako. Mmeangushwa na sasa mnaona haya.
Kupewa mkopo ni haki yangu ya msingi na ninastahili lolote la zaidi hata kama ni huo msamaha. Kwa taarifa yako kwa kufanikiwa kumzuia Zitto na wapambe ambao hamumtakii mema yeye binafsi na ambao mko tayari kuua mafanikio makubwa ya Chadema chini ya uongozi wa Mbowe, tumeinusuru Chadema na tumewakaba koo ninyi mawakala wa CCM na wa idara yenu ya makachero.
Kweli wewe kilaza, kumbe unaandika mambo ambayo hujayafanyia utafiti. Sijapata kuandika makala ya kumsakama Mwandosya bali niliandika makala dhidi ya Kikwete na kumuuliza ana nini na mkoa wa Mbeya? Nikamhoji ni kwa nini ameamua kuteua mawaziri wawili kutoka wilaya moja (Mwandosya na Mwakyusa?)
Mwenzako aliyeweka thread hii amenisakama kwa kuendelea kulia na kumuombolezea Mwandosya tangu alipoangushwa na Kikwete na wewe unaandika nimemsakama Mwandosya. Upuuzi mtupu. Ninyi ni vijana ambao uwezo wenu wa kufikiri umepwaya endelea kujianika JF, mwisho tutaacha kusoma kila aina ya upuuzi unaotuwekea.
Kidogo kidogo ujinga wenu unajifunua. Ole wenu upumbavu unaelekea kuwakumba kwa sababu mmekumbatia upuuzi.