Naomba nichukue fursa hii kukupongeza Kibanda kwa makala iliyomfanya Zitto kujifikiria mara mbili na kuachia ngazi.Mwanzo ni miongoni mwa waliokulaumu na kufikia kukuona unajikomba kwa boss, lakini kwa vile angalizo lako limeepusha shari, then unastahili pongezi kwa kuwa na kalamu very powerfull.Pongezi zangu zinahusu tuu power ya pen being mightier than a sword na umejijengea heshima zaizi kuwa kalamu yako inakata kama upanga wa makali kuwili.Kwa upande mwingine, lets get back to facts, facts are sturbon things, kwa vile angalizo lako kuhusu kuanguka kwa Zitto lilikuwa based kwenye uoga, na limetimia kwa Zitto kujitoa. Ni kama ukweli wa kuona anguko lake maana sasa Zitto ni puu...chini!, naomba kesho uiendeleze makala kwa kuandika yatokanayo. Mimi binafsi naamini Zitto ni genuine na aliamini anaweza kuisaidia Chadema kulivua koti la Uchagga na kuivisha mavazi nadhifu ya usasa, kumbe ndio kwanza wezee wameiongezea blaketi la bibi kudumisha mila!.Kama kweli Zitto ni mtu wa msimamo, naomba niwe wa kwanza kuwadhibitishia, yuko njia moja, ila anasubiri tuu wakati muafaka.Udumu Kibanda, Kidumu Chadema, Ikulu ilee...!