AMARIDONG
JF-Expert Member
- Jun 24, 2010
- 2,501
- 189
SIO LAZIMA WOTE TUKUBALIANE NA SITTA NA HATA KIBANDA SIO LAZIMA TUKUBALIANE NAE NA HILI SIO SWALA LA KUJENGA CHUKI,TUNAWEZA KUMCRITISIZE LAKINI SIO KUMZUSHIA ETI YUKO KWENYE PAYROLL YA RA ,SIO POA KIBANDA NA SITA NI WATU NA WANA HAKI KIKATIBA KUTOA MAWAZO KAMA SITTA NAE KACHUKIA ARUDI KWENYE VYOMBO VYA HABARI ASEME ANAONAJE MAONI YA KIBANDA.
KIBANDA NI SHUJAA AMELIJENGA TANZANIA DAIMA KUTOKA ZERO MPAKA HAPO LILIPO NO ONE CAN SAY NO ON THIS EVEN AIKAELI FREEMAN MBOWE ANAJUA KAZI YA KIBANDA NI PERFECT ALWAYS,
HONGERA FREEMEDIA KWA UHURU WA MAONi.