Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
yah
nakumbuka tulishamshauri sana mhusika original sasa nashangaa umerudi tena lakini kisa kama amekifupisha
Uzi wa muda sana huu..almost 3yrs
yah
nakumbuka tulishamshauri sana mhusika original sasa nashangaa umerudi tena lakini kisa kama amekifupisha
Sio kweli ule uzi nimetoka kuusoma mda huu una miezi 10 tu tangu uandikwe acha kudanganya na hauko hivi japo jamaa anaweza kuwa ni huyu kwa asilimia nyingi na hapa anaonesha kukata tamaa na kwenye uzi wa mwanzo anaonesha kutafuta suluhu nadhani mambo yameshindikanaUzi wa muda sana huu..almost 3yrs
Sio kweli ule uzi nimetoka kuusoma mda huu una miezi 10 tu tangu uandikwe acha kudanganya na hauko hivi japo jamaa anaweza kuwa ni huyu kwa asilimia nyingi na hapa anaonesha kukata tamaa na kwenye uzi wa mwanzo anaonesha kutafuta suluhu nadhani mambo yameshindikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza hasira mkuu usije ukamzaba vibao!Huyu ana mambo ya Kipimbi sana mzazi gani ambae hufeel maumivu ya mwanao? ni mambo mengine ni upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika kaka, Mimi ni mchepukaji sikatai lakini linapokuja suala la familia yangu na wazazi sina mjadala na kweli wazazi wangu sio changamoto.
Lakini nina shuhuda za marafiki zangu wale wazazi wao hawapaswi kuwa wazazi ndani ya hii dunia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unazinguaSijaona kosa la baba’ko hapo, umeandika mengi ila ukahitimisha kinachokuuma ni 16m tu... itakuwa umeanza kufirisika hivyo unatafuta wa kumbebesha lawama.
Tafuta hela nyingi bwashee, ukizipata tafuta zingine... mwache mzee ale mafao usisahau keshakwambia umlipe gharama za matunzo.
Cheers![]()
Nasema ivi huyu baba sio yeye karogwa na huyo kimada kwa mantiki hiyo na kujua chanzo cha tatizo thread poster angesamehe tu by the way, masikio hayazidi kichwa.Kwahiyo huyo mzee wake hajui kama wizi ni mbaya hadi muda huu? Au kwa vile kamuita mpumbavu nawe unaona mzee hajitambui yaani hajui jema na baya.
Sasa atalipa na pesa ipi hiyo mil 16? Sahau au peleka kesi likae huko mahaakamani kumshtua tu. USHAURI TU MAANA TUNA WATOTO WANAOUZA MALI NA KUIBAXHATUWAFUNGI WALAXKUSHITAKI. Ni wengi wa namna hiyo hasa hawa wanaokaa tu kungoja wazazi wafe bila kujishughulisha na kazi yoyoteHiyo huna laana, mpeleke mahakamani! Huyo baba hafai. Usikubali kupoteza milioni 16
Hata kama umeghadhabika mkuu, mke wa baba yako siyo 'kimada wake' ni mama yako, embu come down!Mkuu Hana maisha ya dhiki kivile sema huyo kimada wake anampelekesha hata akiwa Hana pesa atatafuta means yoyote aipate
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamdenyi inakuwaje hiyo?Huyo baba muhuni ndugu.
Achana naye fanya yako.
Kumshtaki ni kujizolea laana tu asije piga kikojoleo chake chini ukafa bure, mwache hela inatafutwa.
Sent using Jamii Forums mobile app