Pond skarter
Member
- Sep 17, 2019
- 22
- 36
Manzile,
Mkuu pole Sana kwa hayo ya mzazi wetu. Nikuombe tu huyo Ni mzazi wako hata Kama atakuwa amekukera na kukuumiza kwa kiasi gani. Kumbuka pia kila mafanikio Yana changamoto zake huenda hili nijaribu kwako ili kukufanya uwe imara zaidi.
Achana na kumuita mpumbavu huyo mzazi tafuta kajikwaa wapi mpk anafanya hayo km aliweza kukutengenezea misingi mizuri na Leo uko hivilazima Kuna uzuri wake mwingi na mkubwa. Haya maisha Yana mambo mengi Sana mkuu ikiwezekana ongea naye au ongea na rafiki yake wa karibu atakupa Mwanga juu ya kinachomsibu mshua then kuanzia hapo utapata wapi pa kuanzia.
Achana na kumuita mpumbavu mzee wako, bila huyo usingekuwepo duniani hata ungekuwepo si kwa jina la manzile Mali zinatafutwa tu boss wangu