Nakusudia kumshtaki baba yangu

Nakusudia kumshtaki baba yangu

Mkuu mzee wangu sitaki kumsema uongo alinitunza vema sana tatzo la uhuni na alipoanza kupata pesa alibadilika sana na hapo ndipo uhuni ulipozidi mpaka mda huu tunafikishana huku na sijui kakamatwaje kwa sasa kawa ni zaidi ya MPUMBAVU ukoo mzima unamshangaa. Yaani Kama nisingesimama kwenye familia basi Hawa madogo wangekuwa wanajiuza na wengine machokoraa hakukuwa na msaada mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole sana. Lakini ondoa hilo neno "Mpumbavu" ondoa tu huyo ni mzazi wako. Pesa inatafutwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli baba yako ni mpumbavu.

Ingawa na wewe pia umefanya upumbavu.

Kuumwa na nyoka mara mbili kwenye eneo lile lile ni upumbavu.

Binafsi baba hakunilea wala sikumjua mpaka nahitimu kidato cha sita. Kwa kuwa hakunilea kabisa nilidhani labda baada ya kukutana sasa atachukua majukumu yake kumbe bado mpuuzi tu.

Nikamwambia tu kama vile ambavyo hatukuwa na ukaribu zamani, tuendelee vivyo hivyo kiroho safi.

Usiweke ukaribu na JOKA ukidhani ipo siku litabadilika na kuwa samaki.
 
Nakushauri mfikishe mahakamani , hata kama utamsamehe ajue wizi ni mbaya.
 
Baba ni baba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri mfikishe mahakamani , hata kama utamsamehe ajue wizi ni mbaya.
Kwahiyo huyo mzee wake hajui kama wizi ni mbaya hadi muda huu? Au kwa vile kamuita mpumbavu nawe unaona mzee hajitambui yaani hajui jema na baya.
 
"Wengi wape" ila si mara zote huyo ni mzee wako hata kama ana mapungufu ya wazi usiungane na ukoo wako kumsakama kwa ujinga wake na uhuni jaribu kutafuta muda ambao unaweza kuonekana ni muda wa kipuuzi omba appointment naye kisha kirafiki anza kuongea naye ukiamini ni mpumbavu, yaani vaa uhusika kama vile wewe ndiye baba yake.

Jaribu kumuuliza anaona hatima gani na maisha yake pamoja na familia ameamua iwe katika njia hiyo au kuna kitu kipo ndani yake. Huwenda mzee wetu amepata mhuni ambaye amevuruga ufahamu wake na haelewi chanya wala hasi. Usimhukumu kuwa ni mpumbavu wala mjinga ila tafuta chanzo cha upumbavu wake huo ambao amekuwa nao hivi karibuni najua upumbavu wake huwenda ni msukumo kutoka kwa yule ambaye anakaa naye sasa.

Ulipambana na kupata zaidi ya milioni 10 na viwanja ukanunua huku wadogo zako wa5 ukikomaa nao na tena wako private schools. Huoni kama wewe ni mtu ambaye unaweza kumudu mambo mazito na kuyatatua? Wewe inatakiwa mzee wako ndiye akuone mpumbavu kwa yote ambayo kakutendea na umekaa kimya. Hebu onesha mzee kuwa amezaa dume lisilotetereka katika magumu kama hayo aliyokupitisha.

Utadai pesa je asipokuwa nazo atakulipa nini? Najua unaweza kuishi bila hizo pesa ambazo unataka kudai kwa huyo mzee wako. Kama uchumi wako haujatetereka achana na kelele za kifamilia unda himaya yako uwe mfalme katika himaya yako uishi katika misingi yako uache kufuatilia huyo unaeita mpumbavu.
Nimetafuta kila njia na nimekaa vikao vingi havijazaa matunda na tatzo mzee hashauriki, mpaka naifikia uamuzi huu ni kwamba naona Sina njia nyingine ameshanitia hasara nyingi za KIPUMBAVU na nimelipa madeni yake mengi kwa UJINGA wake hizo nilizoorodhesha hapo ni baadhi ya mambo makubwa aliyofanya ambayo hayapaswi kufanywa na mzazi yeyote mwenye akili timamu tena kwa mwanae.

Just imagine, nilimpa 28m za kuboost miradi yake, 30m za kumalizia malipo ya nyumba yangu na 12m za viwanja zote kala bila aibu, huyu ni mzazi kweli? Bado kauza kiwanja changu kwa 24m na kipindi hicho nimkuwa kila mwaka zaidi ya miaka 6 Sasa natoa zaidi ya 10m kwa ajili ya ada tu za madogo shule yeye Hana mda huo anatumia jasho kulipia ada watoto wa wanaume wenzake aliowakuta kwa huyo mwanamke aliye nae huku wake akiwa mda nao

Huyu mzee ni MPUMBAVU mkuu mpaka hapa nilipofika Nina hasira mno mungu tu anipe busara zaidi maana naweza kuandikwa kwenye vyombo kwa maamuzi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina neno zuri la kutumia zaidi ya kusema nimebahatika kuzaliwa na baba mpumbavu sana, mjinga na asiyejielewa, sina mantiki ya kumdharau baba yangu lakini mpaka hapa nilipofika Sina budi kusema ni mjinga na imefika hatua namchukia kwelikweli Kuna misemo mingi ya wahenga kuhusu wazazi lakini wengine ni gundu, Mimi pia ni baba wa watoto 4 lakini huyu mzazi wangu hafai kuigwa na mzazi yeyote aliye smart.

Stori ni ndefu sana hapa naifupisha kidogo, Huyu baba yangu hana maisha ya dhiki ni mtu mwenye uwezo wa kufanya chochote anachotaka pamoja ya kuwa na miradi hajawahi kuishirikisha familia na hakuna anaejua miradi yake ilipo hata Mimi pamoja na kusikia tu kwa watu sijawahi kumuuliza na wala hilo halijawahi kuwa tatzo kwangu na wadogo zangu.

Tatizo ni hili,Kuna kipindi baba yangu alifirisika alichoka sana kiuchumi, kipindi hicho Mimi nilikuwa vizuri kiuchumi baada ya kumaliza chuo wajomba zangu waliniwezesha nikawa nina miradi ambayo ilikuwa inatoa profit nzuri kipesa na kiutafutaji nilikuwa mkoa tofauti na wazazi na tulikuwa karibu sana kimawasiliano. Siku moja Baba alinipigia simu akiniomba tuongee kwa kina , yalikuwa maongezi marefu lakini kikubwa alikuwa ananiambia amefirisika na gari zote alizokuwa nazo ameuza na alihitaji msaada wangu wa kuinua uchumi wake. Ilibidi nifunge safari kurudi nyumbani kwa wazazi ili tuzungumze vizuri sikutaka kufanya maamuzi nikiwa mbali nikiwa sijui ukubwa wa tatzo.

Na hii ndio ilikuwa mara ya kwanza kuongea na baba yangu kwa kina hakuwahi kunishirikisha kwenye mambo yake yoyote yale, tulizungumza kwa kina na ilikuwa siku nzuri sana kwetu na familia kiujumla tulifika muafaka kwa ustawi wa familia na wadogo zangu ambao walikuwa bado wako shule ambao walihitaji msaada zaidi kufika malengo yao na kwa vile pesa aliyoomba ilikuwa ndani ya uwezo wangu nilimpa mara 2 ya kile alichoomba nikamnunulia na gari la kutembelea, na hapa niseme ukweli pamoja na kwamba nyumbani kulikuwa na magari baba yangu alikuwa hataki kuona watoto tunajua kuendesha lakini kwa vile mjomba alikuwa na gari na mwanae alikuwa anajua aliweza kunifundisha na nikawa najua na sikuwahi kuendesha gari la baba alikuwa haruhusu mpaka anafirisika, Sasa kulingana na ufinyu wangu wa mda kuna nyumba ilikuwa inauzwa huo mkoa anaoenda kuwekeza nikampa pesa zingine ili akamilizie kunilipia na achukue document zote kwa niaba yangu na aninunulie viwanja kadhaa ambavyo tayari nilikuwa kwenye mawasiliano na wauzaji.

Kipindi chote tukawa tunawasiliana na kumuweka karibu na wale wauzaji na nyumba na viwanja ili kuhakikisha anavinunua na kuhusu maendeleo ya miradi yake aliyofungua. Sikujua chochote ndani ya mwaka mzima mpaka pale mdogo wangu aliyekuwa anaingia kidato cha 2 na mwingine cha 4 kunipigia simu kwamba wamefukuzwa shule kwa sababu ya ada Ikabidi nishtuke kumpigia mzee kutaka kujua nini kimetokea maana moja ya makubaliano yetu ni watoto kulipiwa ada, bila matarajio alinijibu kiukali sana na kunitaka nilipe gharama zake za matunzo yangu alivyonilea, ikanibidi nianze kufuatilia kupata hati za nyumba na viwanja nilivomtuma aninunulie kufika pale kwenye nyumba na viwanja vyote vishauzwa na yeye amejenga nyumba nyingine ambayo anaishi na mwanamke mwingine na tayari Wana mtoto mzee kweli ni mhuni lakini sikutegemea atafikia kiwango hiki. Nilihisi kuchanganyikiwa, ilileta mgogoro kidogo kati yangu na yeye lakini niliradhimika kusamehe. Mzigo wa pale nyumbani watoto wa5 wote wako shule private baba yangu akawa hana mda nao tena.

Nikaingia kwenye majukumu mazito na magumu lakini mungu akanifungulia riziki kipato nilichokuwa nakipata kikawa si haba nikapambana nao mpaka wengine leo wako chuo na kuweza kujenga nyumba nzuri zaidi kwa ajili ya familia na nikafungua miradi pale nyumbani ili kuwezesha kupata pesa za matumizi madogo na kujikimu kwa familia, wakuu sikujua lengo la baba kwa kweli yaani alichukua kirikuu akasomba vitu vyote dukani mpaka leo haijulikani alipeleka wapi na mtaji wote wa biashara za mobile money transaction akachukua.

Kinachonifanya nimfungulie kesi ni hiki, nilinunua kiwanja mwaka juzi kwa 16m na yeye akiwa shahidi hati nikaiacha nyumbani kwa mama na mara kadhaa nimekuwa naisahau kuichukua mwezi January naenda kuweka uzio kwenye uwanja wangu nakuta kumeshajengwa, namuuliza aliyepo anasema ameuziwa na baba na hati anatoa ambayo niliyouziwa mimi mwanzoni kumuuliza mama anasema yeye alitunza kwenda kuangalia alipoiweka haipo, na Mimi nina familia nishachoka nitaka nimburuze mahakamani.

Kuna mda inafika kiwango cha uvumilivu kinaisha, ukisikia watu watu wanauana ni mambo Kama haya na hapa ndipo unapoona Kama Diamond hama mda na baba yake hapaswi kulaumiwa Hawa wazee wengine ni WAPUMBAVU mambo mengi nimeamua kufupisha, maana nahisi kumtwanga hata risasi huyu mke wake amerudisha nyuma sana kwenye uchumi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Futa neno mpumbavni na mjinga. Baba yako hawezi kuwa hivyo.
Wahenga walisema mtu mzima hakosei bali ana pitiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni kosa kujua kama mzee wako ana mgogoro na mama yako! Mbona hii kali, katika maelezo yake hadi anaondoka na kuacha kutekeleza majukumu ya kifamilia unaona ni kawaida?
Mkuu kwa mtazamo wangu, kwa sababu mleta mada ameumizwa sana kwa sasa, hayo yanamtosha. I find it inappropriate kumu-ambush baba kwa mambo ya ndani. Apige moyo konde aendelee kupambana, akate tu zile connection asimuingize hasara nyingine, basi.
Mzee kwa sababu ni mtu mzima pengine wanaweza kuja kuyaongelea wakati mwingine kwa utulivu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo huyo mzee wake hajui kama wizi ni mbaya hadi muda huu? Au kwa vile kamuita mpumbavu nawe unaona mzee hajitambui yaani hajui jema na baya.
Wengine akili za utambuzi wa mambo ya kawaida zinakuwa taratibu mno.

Yawezekana pia mzazi anaona ni haki yake, kufanya huo uhalifu. Akiamini mwanaye awezi kumuadhibu.

Ili atambue wizi ni mbaya na segerea afike.
 
Nimetafuta kila njia na nimekaa vikao vingi havijazaa matunda na tatzo mzee hashauriki, mpaka naifikia uamuzi huu ni kwamba naona Sina njia nyingine ameshanitia hasara nyingi za KIPUMBAVU na nimelipa madeni yake mengi kwa UJINGA wake hizo nilizoorodhesha hapo ni baadhi ya mambo makubwa aliyofanya ambayo hayapaswi kufanywa na mzazi yeyote mwenye akili timamu tena kwa mwanae.

Just imagine, nilimpa 28m za kuboost miradi yake, 30m za kumalizia malipo ya nyumba yangu na 12m za viwanja zote kala bila aibu, huyu ni mzazi kweli? Bado kauza kiwanja changu kwa 24m na kipindi hicho nimkuwa kila mwaka zaidi ya miaka 6 Sasa natoa zaidi ya 10m kwa ajili ya ada tu za madogo shule yeye Hana mda huo anatumia jasho kulipia ada watoto wa wanaume wenzake aliowakuta kwa huyo mwanamke aliye nae huku wake akiwa mda nao

Huyu mzee ni MPUMBAVU mkuu mpaka hapa nilipofika Nina hasira mno mungu tu anipe busara zaidi maana naweza kuandikwa kwenye vyombo kwa maamuzi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekua baba yako wa halali usinge weza mtukana hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku zote hasira huenda isitende haki. Kuna jambo la kufanya, najua nia yako ni kumkomoa ila hautaweza kumkomoa kwa pigo la kumpeleka ktk vyombo vya sheria.

Una pesa za kuendesha maisha yako si ndivyo? Mpaka sasa unavyoona pasipo hivyo viwanja kuna kitu ambacho kimeharibu maisha yako? Utaingia mgogoro na Mzee ila kiuhalisia familia nzima itatikisika ktk hili.

Utamfunga ila watakuja wengi wakikwambia ulotenda ni kubwa, either jamii, ndugu ama marafiki. Ishu za mtoto na mzazi ni ngumu. Ni wewe ndie unayesikia uchungu, wao hawafeel vile ambavyo wewe unafeel. Sio ajabu kwao kuja kukwambia umekosea kumpeleka vyombo vya sheria.

Mimi nnachokushauri ni hiki, achana na mzee. Ikiwezekana kata naye mawasiliano kabisa. Hizo fedha zitatumika mwisho kabisa zitaisha. Mzee atakumbuka fadhila za nyuma zote alizotendewa, na hapo ndipo atakapomkumbuka mkewe wa kwanza na msaada wako.

Hatoweza kufanya lolote zaidi ya moyo wake kumuhukumu, ogopa saana moyo wako ujihukuku kwa mabaya uliyomfanyia mtu, hata usingizi huwezi ukaupata kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri uliompa mzuri. Nyongeza asikate mawasiliano na babaye ila awe makini. Pia afute neno upumbavu kwa baba yake. Hilo litamdhalilisha yeye mwenyewe na ni kosa kwa Mungu. Pamoja na yote aliyotenda babake haibadilishi ukweli kuwa ametoka kwenye kiuno chake
 
Hii story kama umewahi kusimulia humu, japo kwa ID nyingine

Pole mkuu, kwa kweli baba yako anakuweka kwenye mazingira magumu sana

Mimi Nakushauri mpotezee, kaa mbali naye pia, usimshirikishe kwenye mambo yako hususani ya mali

Na kwa kuwa inaonekana Mungu amekujalia flow ya kipato kizuri jipange, kuanza upya si ujinga
Sina neno zuri la kutumia zaidi ya kusema nimebahatika kuzaliwa na baba mpumbavu sana, mjinga na asiyejielewa, sina mantiki ya kumdharau baba yangu lakini mpaka hapa nilipofika Sina budi kusema ni mjinga na imefika hatua namchukia kwelikweli Kuna misemo mingi ya wahenga kuhusu wazazi lakini wengine ni gundu, Mimi pia ni baba wa watoto 4 lakini huyu mzazi wangu hafai kuigwa na mzazi yeyote aliye smart.

Stori ni ndefu sana hapa naifupisha kidogo, Huyu baba yangu hana maisha ya dhiki ni mtu mwenye uwezo wa kufanya chochote anachotaka pamoja ya kuwa na miradi hajawahi kuishirikisha familia na hakuna anaejua miradi yake ilipo hata Mimi pamoja na kusikia tu kwa watu sijawahi kumuuliza na wala hilo halijawahi kuwa tatzo kwangu na wadogo zangu.

Tatizo ni hili,Kuna kipindi baba yangu alifirisika alichoka sana kiuchumi, kipindi hicho Mimi nilikuwa vizuri kiuchumi baada ya kumaliza chuo wajomba zangu waliniwezesha nikawa nina miradi ambayo ilikuwa inatoa profit nzuri kipesa na kiutafutaji nilikuwa mkoa tofauti na wazazi na tulikuwa karibu sana kimawasiliano. Siku moja Baba alinipigia simu akiniomba tuongee kwa kina , yalikuwa maongezi marefu lakini kikubwa alikuwa ananiambia amefirisika na gari zote alizokuwa nazo ameuza na alihitaji msaada wangu wa kuinua uchumi wake. Ilibidi nifunge safari kurudi nyumbani kwa wazazi ili tuzungumze vizuri sikutaka kufanya maamuzi nikiwa mbali nikiwa sijui ukubwa wa tatzo.

Na hii ndio ilikuwa mara ya kwanza kuongea na baba yangu kwa kina hakuwahi kunishirikisha kwenye mambo yake yoyote yale, tulizungumza kwa kina na ilikuwa siku nzuri sana kwetu na familia kiujumla tulifika muafaka kwa ustawi wa familia na wadogo zangu ambao walikuwa bado wako shule ambao walihitaji msaada zaidi kufika malengo yao na kwa vile pesa aliyoomba ilikuwa ndani ya uwezo wangu nilimpa mara 2 ya kile alichoomba nikamnunulia na gari la kutembelea, na hapa niseme ukweli pamoja na kwamba nyumbani kulikuwa na magari baba yangu alikuwa hataki kuona watoto tunajua kuendesha lakini kwa vile mjomba alikuwa na gari na mwanae alikuwa anajua aliweza kunifundisha na nikawa najua na sikuwahi kuendesha gari la baba alikuwa haruhusu mpaka anafirisika, Sasa kulingana na ufinyu wangu wa mda kuna nyumba ilikuwa inauzwa huo mkoa anaoenda kuwekeza nikampa pesa zingine ili akamilizie kunilipia na achukue document zote kwa niaba yangu na aninunulie viwanja kadhaa ambavyo tayari nilikuwa kwenye mawasiliano na wauzaji.

Kipindi chote tukawa tunawasiliana na kumuweka karibu na wale wauzaji na nyumba na viwanja ili kuhakikisha anavinunua na kuhusu maendeleo ya miradi yake aliyofungua. Sikujua chochote ndani ya mwaka mzima mpaka pale mdogo wangu aliyekuwa anaingia kidato cha 2 na mwingine cha 4 kunipigia simu kwamba wamefukuzwa shule kwa sababu ya ada Ikabidi nishtuke kumpigia mzee kutaka kujua nini kimetokea maana moja ya makubaliano yetu ni watoto kulipiwa ada, bila matarajio alinijibu kiukali sana na kunitaka nilipe gharama zake za matunzo yangu alivyonilea, ikanibidi nianze kufuatilia kupata hati za nyumba na viwanja nilivomtuma aninunulie kufika pale kwenye nyumba na viwanja vyote vishauzwa na yeye amejenga nyumba nyingine ambayo anaishi na mwanamke mwingine na tayari Wana mtoto mzee kweli ni mhuni lakini sikutegemea atafikia kiwango hiki. Nilihisi kuchanganyikiwa, ilileta mgogoro kidogo kati yangu na yeye lakini niliradhimika kusamehe. Mzigo wa pale nyumbani watoto wa5 wote wako shule private baba yangu akawa hana mda nao tena.

Nikaingia kwenye majukumu mazito na magumu lakini mungu akanifungulia riziki kipato nilichokuwa nakipata kikawa si haba nikapambana nao mpaka wengine leo wako chuo na kuweza kujenga nyumba nzuri zaidi kwa ajili ya familia na nikafungua miradi pale nyumbani ili kuwezesha kupata pesa za matumizi madogo na kujikimu kwa familia, wakuu sikujua lengo la baba kwa kweli yaani alichukua kirikuu akasomba vitu vyote dukani mpaka leo haijulikani alipeleka wapi na mtaji wote wa biashara za mobile money transaction akachukua.

Kinachonifanya nimfungulie kesi ni hiki, nilinunua kiwanja mwaka juzi kwa 16m na yeye akiwa shahidi hati nikaiacha nyumbani kwa mama na mara kadhaa nimekuwa naisahau kuichukua mwezi January naenda kuweka uzio kwenye uwanja wangu nakuta kumeshajengwa, namuuliza aliyepo anasema ameuziwa na baba na hati anatoa ambayo niliyouziwa mimi mwanzoni kumuuliza mama anasema yeye alitunza kwenda kuangalia alipoiweka haipo, na Mimi nina familia nishachoka nitaka nimburuze mahakamani.

Kuna mda inafika kiwango cha uvumilivu kinaisha, ukisikia watu watu wanauana ni mambo Kama haya na hapa ndipo unapoona Kama Diamond hama mda na baba yake hapaswi kulaumiwa Hawa wazee wengine ni WAPUMBAVU mambo mengi nimeamua kufupisha, maana nahisi kumtwanga hata risasi huyu mke wake amerudisha nyuma sana kwenye uchumi wangu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ushauri uliompa mzuri. Nyongeza asikate mawasiliano na babaye ila awe makini. Pia afute neno upumbavu kwa baba yake. Hilo litamdhalilisha yeye mwenyewe na ni kosa kwa Mungu. Pamoja na yote aliyotenda babake haibadilishi ukweli kuwa ametoka kwenye kiuno chake
Dini zote zinasema tuwaheshimu wazazi. Hata wapagani wanahimiza tuwaheshimi wazazi. Huwezi muita baba yako mpumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetafuta kila njia na nimekaa vikao vingi havijazaa matunda na tatzo mzee hashauriki, mpaka naifikia uamuzi huu ni kwamba naona Sina njia nyingine ameshanitia hasara nyingi za KIPUMBAVU na nimelipa madeni yake mengi kwa UJINGA wake hizo nilizoorodhesha hapo ni baadhi ya mambo makubwa aliyofanya ambayo hayapaswi kufanywa na mzazi yeyote mwenye akili timamu tena kwa mwanae.

Just imagine, nilimpa 28m za kuboost miradi yake, 30m za kumalizia malipo ya nyumba yangu na 12m za viwanja zote kala bila aibu, huyu ni mzazi kweli? Bado kauza kiwanja changu kwa 24m na kipindi hicho nimkuwa kila mwaka zaidi ya miaka 6 Sasa natoa zaidi ya 10m kwa ajili ya ada tu za madogo shule yeye Hana mda huo anatumia jasho kulipia ada watoto wa wanaume wenzake aliowakuta kwa huyo mwanamke aliye nae huku wake akiwa mda nao

Huyu mzee ni MPUMBAVU mkuu mpaka hapa nilipofika Nina hasira mno mungu tu anipe busara zaidi maana naweza kuandikwa kwenye vyombo kwa maamuzi yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifa moja ya mwanaume mkuu ni ku-handle mambo magumu kama haya. Kwanza nakupongeza kwa kuwa tajiri wa hata kuweza kulipa 10m kwa wadogo zako ili wasome. Wewe ni shujaa usiyeimbwa hakuna baya utafanya kwa huyo mzee umkomoe ila tu msamaha na kuachana naye ni njia nzuri sana ya kukuepusha na mabalaa mengine.

Fikiria umechukua maamuzi mabaya kwake tuseme ameondoka duniani, unadhani utakuwa umesolve tatizo au umetengeneza tatizo la kujirudia katika ukoo wako? Umewaza kwa kiasi gani wadogo zako huomba Mungu ili uwe na afya njema ili mambo yao yaende, nadhani hujajua umuhimu wako kwa familia ndiyo maana unajikuta unawaza hata kuandikwa na vyombo vya habari kwa maamuzi mabaya unayoweza kufanya.

Je uko tayari msingi wa maisha yako ubomolewe na huo upumbavu wa huyo mzee? Jibu ni hapana wewe ni mwanaume yaani hapa ndipo sehemu pekee ya kuonesha watu wanaokutegemea kuwa wana kiongozi mahiri ambaye anaongoza vyema chombo chao hata wapitapo katika bahari chafu.

Familia nyingi sana ambazo ni masikini hata zile zenye uwezo mzuri kimapato zina migogoro hasa na wazee wao. Kila mtu hawezi kuandika hapa mkuu ila mimi huyu ninaeandika hapa nina matatizo same to you ila nimekuwa mpumbavu. Ili kujenga familia yangu ambayo itakuja kuniita baba/kaka, mjomba n.k.

Hutakiwi uwe na maamuzi katika hasira uliyonayo sasa.

Mkuu achana na mambo ya kuandikwa kwenye vyombo vya habari mimi nina mengi ya kuongea na wewe, nimekaa muda natype hapa kwa ajili yako usikengeuke huyo mtu mpumbavu akakuweka kwenye matatizo makubwa.
 
Wengine akili za utambuzi wa mambo ya kawaida zinakuwa taratibu mno.

Yawezekana pia mzazi anaona ni haki yake, kufanya huo uhalifu. Akiamini mwanaye awezi kumuadhibu.

Ili atambue wizi ni mbaya na segerea afike.
Tafuta sehemu ukae kwa muda acha kuleta petrol motoni.
 
Duh! Pole sana mkuu kuna washua wanaumiza sana na hii ipo karibia kila ukoo lazima atokee mshua mzenguaji, mambo mengine ni kusamehe tu na kusahau.
 
Potezea mkuu baba ni baba, fanya vitu kwa Siri nimejifunza kitu polisi utapoteza mda na utakuja kumsamehe tu na kumzalilisha Mzee wako, Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom