kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,728
Msukuma Original, Nimepitia machungu mengi sana ingawaje sijafikisha hata 37 years, Mungu alinifanya nikaajiriwa nikiwa na miaka 24 nilithaminiwa, nikapoteza ajira, yaliyonikuta sitoyasahau kamwe kwani nishatukanwa tusi zito huku mama mzazi akiangalia mwanawe akinitukana.
Nimeapa kutosaidia ndugu msaada wa kumtoa kimaisha zaidi ya kinafiki, marafiki ndio wananipigania, nakula kwao, Nalala, ninaumia maana sina ajira kwa sasa ila wameniambia nisikate tamaa yataisha. Mungu kunionesha mapema adui zangu kanisaidia sana, ashukuriwe Mungu!
Hapa napoandika huu ujumbe ni kuwa hao ndugu hawajui nipo wapi wala nakula nini ila utashangaa mzazi anakuambia nipe mchango wa ndoa! Kaka hiyo siku bila kuwa mzazi wangu wa kunizaa basi tusi ambalo nilitaka kumpatia sidhani kama angenitafuta tena. Hii dunia sio kabisa ndugu yangu, kwani ndugu utasikia wanakuambia kuwa sisi nduguzo kisa unazo mali, fulia ujue rangi zao.
Ilifikia hatua nilianza michakato ya kutafuta scholarship nikasome nje nipate uraia huko kwani hapa sina msaidizi au ndugu but sijakata tamaa, nikipata chance hiyo nasepa jumla...