Nakupenda sana Shetani

Sasa ukisema shetani hakuna,hii hoja ya maovu inakujaje?,i umefanya ulilopendezewa na nafsi yako?amabalo kwako umeliona zuri tuu
Good and evil are the 2 aspects in the soul of every living thing, hivi unajua kwanini wanyama wananyanyasana (achana na kulana), unajua kwanini mnyama 1, let's say fisi anaiba mzoga wa mwenzake??

Kama ilivyo + & -, oksijeni & carbon dioxide ndivyo ilivyo ubaya na uovu katika viumbe hai.

Even that thing personified in the Bible as God, if you read well you will notice that God of the Bible has both GOOD and EVIL ASPECTS

Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa
 
Oooh nimekumbuka kwenye kiswahili ,kwenye aina za maneno,Shetani,mungu ,malaika,majini hivi vyote huitwa nomino dhahania!
 
Shetani ndio nyota wa mchezo
 
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok good news

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasa hapa. #Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili
Mkuu umeenda mbele sana.


Umewaza nje ya box. Lakini siyo kwamba nakuunga mkono bali umenipa tafakuri pana zaidi kuhusu uwezo wa akili na fananizi kiimani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shetani ni wewe mwenyewe ukiwaza mabaya..!Mungu ni mema uwazayo na kutenda
MUNGU NA SHETANI WAKO NDANI YAKO
 
Ni wapumbavu tu wasiompenda shetani, kama mungu mwenyewe alimpenda hakumtenda vibaya baada ya kumkosea (kwa niaba yamandishi baiboz), wewe mwanadamu unamchukiaje......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…