Ki vipi ?Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Nimekaa nikatafari sana baadaeeee nikaja Kujua wewe shetani una uzuri wa pekee ambao wengine hawauoni.
Hivi bila wewe utajiri wa makanisa na misikiti yangetoka wapi?
Wewe ndio umetoa ajira kwa wachungaji na mashehe na wamefaidika sana na wewe kwa kujipatia utajiri
Mungu hakutaka watu wakaishi Kwake ila kwa akili zako ulitengeza kifo ili watu warudi wakaishi alikokuwa baba yao sijui nikupe zawadi gani katika hili [emoji16]
Yapo mengi yakukupongeza ila ngoja niishie hapa maana kila siku upendo unaongezeka juu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio me ninao
Ndio alioonesha udhaifu wa mungu muweza yote alietaka watu waishi kama mazombie.Naomba mwenye koneksheni na shetani aniunganishe ili nimuulize maswali mawili Matatu,dini zote zinamtupia madongo yeye halafu hakuna sehemu waliyompa nafasi ajitetee
Nalog off
Nyie watoto ndo mnaanza kuelewa kiduchu na hapo mnabweteka tu ila ukweli wa mambo mtaujua kadiri mnavyozidi kukua. Kuwa mwangalifu kwani kuna yatakayokukuta siku si nyingi na uhusiano wako na shetani utakuwa mkubwa na matokeo yake utayaona baadaye na utalaani kwanini hakukuwa na mtu wa kukuelewesha.Ndio alioonesha udhaifu wa mungu muweza yote alietaka watu waishi kama mazombie.
Kama kifo ndio chanzo cha kuchukiwa mbona kifo kimeumbwa na huyo huyo wanaempenda na kumtukuza tena kawaandalia moto wapinzani wake wakati huohuo anatufundisha tuwapende adui zetu.
Siku zote nimekuwa na mashaka sana na akili zinazo mtukuza mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukisema shetani hakuna,hii hoja ya maovu inakujaje?,i umefanya ulilopendezewa na nafsi yako?amabalo kwako umeliona zuri tuuBeyond your mind..there is no such a thing called Satan/devil.
You create it/him in your mind according to how you have been programmed by the religion.
Toka nolilijue hilo nimejikuta navadilika Sana maana nimekuwa nikilitendea kazi Kama sehem ya kuthibitisha Ni kweli shetani tunamtengeneza ndani ya mawazo yetu??
Nimegundua Ni kweli. UKifanya maovu ujue Ni matokeo ya mawazo yako na sio ushawishi kutoka nje (shetani)
Lakini punde, akakwingilia Jack Chan shashaaa