Waiter Zungusha Bapa Na KonyagiKila mtu ana jinsi ya kuexpress feelings zake, yeye ameamua kuandika hapa, sio tatizo wala sio kosa. Kama kuna watu wanaleta nyuzi za kushare changamoto zao za ndoani, kuna shida gani huyu akiamua kuleta uzi wa kumcelebrate mkewe na ndoa yake? Tena nimefurahi kweli kuletwa uzi +ve kuhusu ndoa, maana tumezoea nyuzi za kuponda ndoa tu. Let's celebrate with them jaman
AmeeeeeeeeenMama angu Unena Maneno Mazur Matam
Mpaka Nimefurai Zaid Mama Angu
Sina Cha Kukupa Zaid Ya Kukwanbia Mungu Akubariki Wew Pamoja Na Kaka Angu
Kama Huna Bass Mungu Amlete Mwenye Hekima Na Busara Zaid Msikivu Na Mtiifu Kwako
Respect Mamii
Mim Mpole Jaman Hata Umalaya Siujui Na SiutakUkute hata hana huyo mke ama
Wanaume wanaoongoza kuwapost wake zao na kuwasifia sifia kila.mahala ndio wanaoongoza kwa umalaya
Mwite Aje Hapa Nitafarijika Nikimuona Mama Angu UyuSawa
KhaaaUmeolewa lakin
Ninacho Jua Mim Hakuna Ndoa Isiyo Na Misukosuko Wala Changamoto Kikubwa Hapa ni Uvumilivu Na KuheshimianaNawaonea wivu sana,nimekaa miaka mingi na wife .week sasa tangu niongee na mpenzi wangu..sijajua kiburi kakitolea wapi..vituko kila kukicha.. Mungu awabariki sanA
Miaka mitatu ya ndoa ni sawa na watu wanaoanza safari wanatembea masaa matatu. Hapo hawawezi kudai kupongezwa na watu wanaowakuta njiani. Ndio maana nilimwambia kuwa anajidanganya. Kwani wanaokuwa wake nyymba ndogo unafikiri ni wajinga?.Hata wao pia walikuwa wakizipenda ndoa zao hizo changa za miaka mitatu. Hebu Nipe jibu. Aliyefisha miaka mitatu ya ndoa, na aliyekaa miaka ishirini katika ndoa, ni yupi utakayempa pongezi ya uvumilivu?.
Correction Of ErroKhaaa
UsijaliCorrection Of Erro
Umeolewa Lakin = umeelewa Lakin?
Samahan Sana Mama Angu
Tupo Pamoja Mama Angu Kipenzi Msalimie DadiiUsijali
Sikuelewa bwanaaa ndo maana nkamrudishia
Thank you. ..Sio lazima kila jambo uliongelee. Kidogo kidogo hujaza kibaba. Upande mmoja. Ni haki mtu amfanyie lolote mme Au mke wake hata wa dk 2. au wa miaka. 20. HAKI YAKE YA MSINGI na kumbuka kuna Watu kama wewe wanaoona only „half empty „ na kuna Kama Bwana huyu wanaoona „half full“ katika kikombe cha maisha. Application ya UHURU wa mtu Ndo ujue imetendwa. Kosa lako we ni KIMBELEMBELE NA NEGATIVITY inayotawala maisha yako. UPANDE yea PILI. Nirudi kwa Point yako ya 3 na 20 years ya ndoa in relation to Uvumilivu. Hakuna Principle hapo. Kuna Watu wameishi just one year. Matukio ni kufumaniana.visu. Kupigana. Kesi karibu kila Siku polisi. Na wengine Kwa Lugha utakayoipenda kitendea kazi cha Bwana kimekuwa kwa huku ujerumani tunasema „Kaputt „. Na huyo Wa 20 kila kitu ukiondoa changamoto za kawaida kinafanya kazi. So Uvumilivu Sio miaka bali ni nini tofauti na malengo ya hiyo ndoa na kwa uzito gani kimetokea Ndani ya it’s existence.
RespectThank you. ..
Asante BibieUnatutamanisha Sana jaman hongera sana na mungu awasiamamie ktk maisha yenu yotee
Huwa Tuna kerana Sana Ila Tunavumiliana Na Maisha YanaendaHongera snaa mkuu....ilaa upunguzee sasa kumkera sana au mara kw mara shemej
SawaTupo Pamoja Mama Angu Kipenzi Msalimie Dadii