Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,626
Hongera
Wewe yule uliefanya nae one-night-stand ile siku ya xmas sijui ilikuwa ni mwaka mpya hana nia ya kukuoa kwani?[emoji53][emoji53][emoji53]Unatutamanisha Sana jaman hongera sana na mungu awasiamamie ktk maisha yenu yotee
Ni sawa mkuu katk mahusiano ya mapnz au ndoa ktu ambcho m huw naamn nguzoo kuu n uvumilvu ktk maish hayoo kw sbb unaposhndw kua mvumilv au kuw na stara kw mwenzkoo m naamn huyoo mtu bdoo hajajua nn maana ya ndoa au mapnz kw sbb katk maish hakunag ktu rahs hvyoo kias kwmb klaa ktu mtu anaona n simpl,wepes wa maish huja pal unapotambua na kuthamn jamb husik......Huwa Tuna kerana Sana Ila Tunavumiliana Na Maisha Yanaenda
Mkuu nan huyo jaman wakat mm nina miezi miwili sijakwich unanisingizia tabia mbaya mm Nipo sealed kabisa saivWewe yule uliefanya nae one-night-stand ile siku ya xmas sijui ilikuwa ni mwaka mpya hana nia ya kukuoa kwani?[emoji53][emoji53][emoji53]
Nimependa maneno yako. Ubarikiwe. Mkuu Ambiele hongera pia. MUNGU aendelee kuwatunza. Huwez kuacha kuifurahia leo kwa kuhofia ya kesho.Kwa hiyo mnataka asifurahie ndoa yake, aishi kwa machale hadi ndoa ifikishe miaka 20 ndo aanze kuenjoy? What if wasipofikisha hiyo miaka 20? Kuna watu ndoa zao zilivunjika masaa machache after kufungwa, wao wanahesabu miaka, je sio baraka ya kumshukuru Mungu? Na usipoiona siku moja katika ndoa kuwa ni neema, unadhani ndo utafikisha miaka 20 kwa furaha? Kila siku moja ndo inakuja kutengeneza hiyo miaka 20+, yes labda ni miaka michache kwa kuhesabu ila hata maandiko yamesema tushukuru kwa kila jambo. Na usipojifunza kuthamini na kufurahia miaka 3, hata hiyo 20 utaona kama ni kitu cha kawaida tu, kumbe ni kwa neema tu. Muacheni tu amfurahie mke wa ujana wake, ndo inampa na motisha ya kufight zaidi kuijenga ndoa yake imara . Mbona biashara zenu zikisimama tu hata kama ni ka mwezi, mnazifurahiaaa na kuzitangaza, si mngesubiria zifikishe miaka mingi ndo mzifurahie?
Ambiele Kiviele, nimejisikia raha sana as if nimeandikiwa mimi jamani. Mungu azidi kuwatunza na kuwapigania. Endeleni kuinenea mema ndoa yenu, na ndivyo itakavyokuwa sawasawa na maneno yenu.
Huu Sasa Utan wa Ngum Mim SipoohhWewe yule uliefanya nae one-night-stand ile siku ya xmas sijui ilikuwa ni mwaka mpya hana nia ya kukuoa kwani?[emoji53][emoji53][emoji53]
Alafu Hili Swala La Miezi Miwil Bira Kukwichi Kwichi Umelishikia Bango MamiiiMkuu nan huyo jaman wakat mm nina miezi miwili sijakwich unanisingizia tabia mbaya mm Nipo sealed kabisa saiv
Mmmhhhhna yule mama mwenye mapene mengi u mkembe kama ukoma
Ndio Msema kweli mpnzi wa mungu kwann anisingizie uongo na wakat anajua mm hayo mambo nimestaafu BehaviouristAlafu Hili Swala La Miezi Miwil Bira Kukwichi Kwichi Umelishikia Bango Mamiii
Alafu Hili Swala La Miezi Miwil Bira Kukwichi Kwichi Umelishikia Bango Mamiii
Anaionea wivuuu Sana ndo nn kuja kukuharibia uzi wako jaman yan Ngoja niende gymHuu Sasa Utan wa Ngum Mim Sipoohh
Nawaonea wivu sana,nimekaa miaka mingi na wife .week sasa tangu niongee na mpenzi wangu..sijajua kiburi kakitolea wapi..vituko kila kukicha.. Mungu awabariki sanA