Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

Mpongze wewe. Lakini ajue safari ndo inaanza na awe tayari kutushirikisha pindi atakapoongeza nyumba ndogo ili tumpe pole.
 
Kwa hiyo huyo wa miaka 3 haitaji pongezi ya uvumilivu? Huyo wa miaka 20 unadhani alifikaje kama asingevumilia kila siku hadi afikishe miaka? Mbona kuna watu ndoa zinawashinda ndani ya siku chache tu wanaachana, kwa nini wanandoa wakifikisha mwaka wasifurahie? Kuna watu ndoa zao ni changa lakini zina changamoto kubwa kuliko hata za watu walioishi ndani ya miaka kadhaa. Though nachoamini kwenye ndoa hakuna changamoto ndogo wala kubwa, hiyo ndogo msipoitatua ndoa inaweza kuvunjika . Hivi mtoto wako akifaulu vizuri mtihani wa kumaliza darasa la 1 hutompongeza hadi aje amalize degree?
Kila mwanandoa anahitaji pongezi, hata huyu wa mwaka mmoja anahitaji kupongezwa na kutiwa moyo hadi afikishe hiyo miaka 20

Tatizo ni motive ya kutangazia dunia nzima mpaka people with no interest or connection whatsoever kuwekwa part ya tangazo recipients...

Why cant he honor her with his people and family who knows her and really share the same sentiments?

Ndio maana watu wanaopenda kujitangaza na kujifaragua kuhusu wenzi wao hadharani au kwenye functions,etc nina suspect sana their motives kama geunine hasa...

Ni kama nizinguke dunia nzima nianze kujisifu Nina Pumbu wakati every man has...Ni dalili za kua insane tu
 
Kila mtu ana jinsi ya kuexpress feelings zake, yeye ameamua kuandika hapa, sio tatizo wala sio kosa. Kama kuna watu wanaleta nyuzi za kushare changamoto zao za ndoani, kuna shida gani huyu akiamua kuleta uzi wa kumcelebrate mkewe na ndoa yake? Tena nimefurahi kweli kuletwa uzi +ve kuhusu ndoa, maana tumezoea nyuzi za kuponda ndoa tu. Let's celebrate with them jaman
 
Wivu au ukweli. Ndoa ya miaka mitatu hiyo bado ni ndoa changa sawa na mimba ya wiki mbili. Kila muoaji huwa na mapenzi motomoto ndani ya miaka mitatu.
Umeongea ukweli mkuu walau hata kumi labda.ila miaka mitatu ndoa bado changa kabisa hio
 
Kila mtu ana jinsi ya kuexpress feelings zake, yeye ameamua kuandika hapa, sio tatizo wala sio kosa. Kama kuna watu wanaleta nyuzi za kushare changamoto zao za ndoani, kuna shida gani huyu akiamua kuleta uzi wa kumcelebrate mkewe na ndoa yake? Tena nimefurahi kweli kuletwa uzi +ve kuhusu ndoa, maana tumezoea nyuzi za kuponda ndoa tu. Let's celebrate with them jaman

Dada

Sijasema ni kosa...Yupo sawa tu wala hakuna tatizo

Shida ni motives...kama ni clear wala haina shida...

Kumbuka alichotoa ni taarifa.Sio sharing kwa minajili yeye kupata advice au more information about something...Tukitaka kupata jibu sahihi,tumuulize nini motive yake ya kutoa hii taarifa mpaka mimi mtu wa huku machakani Tandahimba nisiemjua nifahamu?Sababu ni ipi au zipi aziorodheshe halafu uone...Sasa atajibu nimetoa taarifa coz I feel like it,au just because,etc.Wakati hizo bado si sababu mahususi...
 
Take it easy my dear. ..
 
Mpende aisee UMETUMBULIWA VYETI FEKI NA BADO UPO NAE AISEE HUYO WA KIPEKEE KWA KWELI
 
Hawa viumbe uwajui wewe....miaka mitatu ni michache sana.
we mwache tu, miaka mitatu anajifanya anajua mwanamke? wenzake tuko ndoani miaka 20 sasa, mwanzo tulianza na masifa kama hayo lakini sasa tumekuwa wapole.
 
wenzako wameshapima DNA mwaka Jana wote watoto hawakua wao...wewe je umepima
 
Kuna jamaa anamgegeda mke wa mpangaji mwenzake,ndoa ina miaka mitano sasa
 
Kuna kitu umeshaharibu sio bure haya maneno wanapewa michepuko tu sio mke...
 
Najua nina WEWE na hiyo INATOSHA! Wewe ndio siri ya NGUVU YANGU, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu.. najua nimewahi kukukosea lakini ninachofahamu hata wakati nakukosea bado ulikuwa mwanamke pekee ninaekupenda, hakuna aliewahi kuzidi thamani yako, na nakuaminisha leo

HATATOKEA!!

Vingine ni ubinaadamu tu lakini haina maana kuna mbora zaidi yako, Huenda ubinaadamu huohuo kwa mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa, lakini HUKUNIACHA, ulikuwa upande wangu, hata pale nilipokupa huzuni bado

FURAHA YANGU ndio kitu cha kwanza ulichokiangalia, kama MAMA anavyomtizama mtoto ndivyo ulivyokuwa ukinitazama, na bado hukuacha kuniombea kwenye kila ninalolifanya, wewe ni wa thamani kubwa sana kwangu, nashindwa jinsi ya kumshukuru

MUNGU kwa uwepo wako ndani ya maisha yangu, nilipofeli ulikuwepo, ninapofaulu upo na hata Dunia yote inizomee najua nina mtu ambae thamani yangu bado ni KUBWA mbele ya macho yake ambayo haitaka ishuke hata mbingu na ardhi vigeuke,

Katika anniversary yetu hii leo tukiwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu, bado

Sura ya kwanza inayonijia machoni kila ninapoamka ni YAKO!!

Mapenzi yangu kwako ni ya pekee kiasi hata nakosa cha kufananisha nayo....!!!!

Nakupenda Sana Mke Wangu
hongera sana mpendwa hivyo hivyo mpaka mwaka wa 20 kama mimi

njoo na huku kumenogaaa

Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Kuna kitu umeshaharibu sio bure haya maneno wanapewa michepuko tu sio mke...
Asnte bab
Kuna kitu umeshaharibu sio bure haya maneno wanapewa michepuko tu sio mke...
Miaka mitatu michache sana mkuu kuweza kupima ubora wa mapenzi yenu kila mmoja kwa mwenzake
Wivu au ukweli. Ndoa ya miaka mitatu hiyo bado ni ndoa changa sawa na mimba ya wiki mbili. Kila muoaji huwa na mapenzi motomoto ndani ya miaka mitatu.
wivu sio kitu kizuri
Watu wanaopenda kuwasifia wenzi wao mbele za watu hua nina wasiwasi na motives zao...

Very suspect...
Ambiere havome
humpendi mkeo wewe acha swaga za ujana
humpendi mkeo wewe acha swaga za ujana
Juz nimepewa kibuti, Jana nimepewa kibuti, leo naona dalili zile zile akibaki mmoja nitajua hii ni chain nampa mimi kibuti sio kila mtu anioshee na mwaka mpya wote huu.
Woyoooooo

Ni wanaume wachache saana wenye ujasiri huo... Hongera mnoo!!!!

Niwatakie kheri ya ndoa yenu!!!
njoo na huku kumenogaaa

Story: Money Penny ni nani lakini?!
 
Back
Top Bottom