Najua nina WEWE na hiyo INATOSHA! Wewe ndio siri ya NGUVU YANGU, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu.. najua nimewahi kukukosea lakini ninachofahamu hata wakati nakukosea bado ulikuwa mwanamke pekee ninaekupenda, hakuna aliewahi kuzidi thamani yako, na nakuaminisha leo
HATATOKEA!!
Vingine ni ubinaadamu tu lakini haina maana kuna mbora zaidi yako, Huenda ubinaadamu huohuo kwa mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa, lakini HUKUNIACHA, ulikuwa upande wangu, hata pale nilipokupa huzuni bado
FURAHA YANGU ndio kitu cha kwanza ulichokiangalia, kama MAMA anavyomtizama mtoto ndivyo ulivyokuwa ukinitazama, na bado hukuacha kuniombea kwenye kila ninalolifanya, wewe ni wa thamani kubwa sana kwangu, nashindwa jinsi ya kumshukuru
MUNGU kwa uwepo wako ndani ya maisha yangu, nilipofeli ulikuwepo, ninapofaulu upo na hata Dunia yote inizomee najua nina mtu ambae thamani yangu bado ni KUBWA mbele ya macho yake ambayo haitaka ishuke hata mbingu na ardhi vigeuke,
Katika anniversary yetu hii leo tukiwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu, bado
Sura ya kwanza inayonijia machoni kila ninapoamka ni YAKO!!
Mapenzi yangu kwako ni ya pekee kiasi hata nakosa cha kufananisha nayo....!!!!
Nakupenda Sana Mke Wangu
NJOO USOME HII YA KUMTONGOZA ZARI Stori: Jinsi ya Kumtongoza MwanamkeAisee
NJOO USOME HII YA KUMTONGOZA ZARI Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamkehongera sana mkuu
Asante Mtt Mzurhongera sana mkuu
Asante Bi Mother RespectWoyoooooo
Ni wanaume wachache saana wenye ujasiri huo... Hongera mnoo!!!!
Niwatakie kheri ya ndoa yenu!!!
Kwan Na Wew Upo Katika Ndoa Au Bado...??Acha kujidanganya na kutangazia watu eti unampenda mkeo. Miaka mitatu usiite ndoa. Subiri ifike miaka ishirini ya ndoa ndio uandike tutakupongeza. Wakati huo matiti yatakuwa yamekongoroka, meno nayo ya kuhesabu, atakuwa na kitambi, hapo ndio utwambie hiyo shine yako.
NaaamAmbiere havome
Kumbe Na Wew UmewaonaSafi mkuu , wasiopenda wake zao na walio na majanga kwenye ndoa zao wamejaa wengi kwenye huu uzi wanaponda.
Shangazi acha tabia mbaya ya kufanya yale mambo kwenye gari na kwenye ndege!![emoji125][emoji125]Ungefanya la maana sanaaaa ukimuonyesha na na vitendo,inshallah mwenyezi mungu akuwekee mkeo uzidi kumpenda na mzidi masikizano..
Umeolewa lakinMwenyewe
Ah ah ah ah ah ah Watu Hatupendan JamanMmh mbona wenye wivu wanazidi kuongezeka kwenye uzi huu. Hongera mkuu.
Ah ah ah ah ah Mwite Kasie AkutafsirieHapana jamani...ndo maana nkasema mwenyewe
Maneno Mazur Sana Haya Bi Mother SakayoHakika Mungu ni mwema!!!
Uwe mtoto mzuri hivyo hovyo, nakutakia jumanne mpya yenye utulivu!!
Mama angu Unena Maneno Mazur MatamKwa hiyo mnataka asifurahie ndoa yake, aishi kwa machale hadi ndoa ifikishe miaka 20 ndo aanze kuenjoy? What if wasipofikisha hiyo miaka 20? Kuna watu ndoa zao zilivunjika masaa machache after kufungwa, wao wanahesabu miaka, je sio baraka ya kumshukuru Mungu? Na usipoiona siku moja katika ndoa kuwa ni neema, unadhani ndo utafikisha miaka 20 kwa furaha? Kila siku moja ndo inakuja kutengeneza hiyo miaka 20+, yes labda ni miaka michache ila hata maandiko yamesema tushukuru kwa kila jambo. Na usipojifunza kuthamini na kufurahia miaka 3, hata hiyo 20 utaona kama ni kitu cha kawaida tu, kumbe ni kwa neema tu. Muacheni tu amfurahie mke wa ujana wake, ndo inampa na motisha ya kufight zaidi kuijenga ndoa yake imara . Mbona biashara zenu zikisimama tu hata kama ni ka mwezi, mnazifurahiaaa na kuzitangaza, si mngesubiria zifikishe miaka mingi ndo mzifurahie?
Ambiele Kiviele, nimejisikia raha sana as if nimeandikiwa mimi jamani. Mungu azidi kuwatunza na kuwapigania. Endeleni kuinenea mema ndoa yenu, na ndivyo itakavyokuwa sawasawa na maneno yenu.
SawaAh ah ah ah ah Mwite Kasie Akutafsirie
Kweli eehManeno Mazur Sana Haya Bi Mother Sakayo
Usiangaike Kuchukua Sukari Kumwaga Bahalin Ukadhan Maji Ya Bahari Yatabadilika Kuwa Kama ChaiKwa hiyo huyo wa miaka 3 haitaji pongezi ya uvumilivu? Huyo wa miaka 20 unadhani alifikaje kama asingevumilia kila siku hadi afikishe miaka? Mbona kuna watu ndoa zinawashinda ndani ya siku chache tu wanaachana, kwa nini wanandoa wakifikisha mwaka wasifurahie? Kuna watu ndoa zao ni changa lakini zina changamoto kubwa kuliko hata za watu walioishi ndani ya miaka kadhaa. Though nachoamini kwenye ndoa hakuna changamoto ndogo wala kubwa, hiyo ndogo msipoitatua ndoa inaweza kuvunjika . Hivi mtoto wako akifaulu vizuri mtihani wa kumaliza darasa la 1 hutompongeza hadi aje amalize degree?
Kila mwanandoa anahitaji pongezi, hata huyu wa mwaka mmoja anahitaji kupongezwa na kutiwa moyo hadi afikishe hiyo miaka 20