Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
- Thread starter
- #121
Ah ah ah ah ah ahAnaionea wivuuu Sana ndo nn kuja kukuharibia uzi wako jaman yan Ngoja niende gym
Ah ah ah ah ah ahAnaionea wivuuu Sana ndo nn kuja kukuharibia uzi wako jaman yan Ngoja niende gym
Behaviourist Ndio Shemeji Yetu Jaman...??Ndio Msema kweli mpnzi wa mungu kwann anisingizie uongo na wakat anajua mm hayo mambo nimestaafu Behaviourist
Kwenye Ndege angalau gari apana lol.........Shangazi acha tabia mbaya ya kufanya yale mambo kwenye gari na kwenye ndege!![emoji125][emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwenye Ndege angalau gari apana lol.........
Ah ah ah ah ah Mwite Kasie Akutafsirie
Hater on stage.acha maneno mengi wewe....unatuambia sisi ili tufanyeje,kama umefurahia miaka hiyo,mpe hela,kula papuchi ulale sio kutujazia server.
Mama Bora Umekuja Bhana Miangaiko Ya Hapa na Pale Imenifanya Niwe Kimya Mama AnguAbeeeh.....
Ever Smiling Kasie.
Mama Bora Umekuja Bhana Miangaiko Ya Hapa na Pale Imenifanya Niwe Kimya Mama Angu
Bt Miss U So Much Mama Angu Mwaaaaahhh
Cc Safar Jana Ilikuwa Ni Motooooohhh
Hapana Bi mother Sina Mpango Wa Kufunua Shuka La Baba Na Mama Naogopa Radhi MamaHongera kwa vesari kumbe umekua kidogo... safii.
Oohooo naona bado unataka kufunua shuka la baba na mama.....
Ever Smiling Kasie.
Hapana Bi mother Sina Mpango Wa Kufunua Shuka La Baba Na Mama Naogopa Radhi Mama
Juz Mama Ako Alikuja Hapa Daaaahh Nimefarijika SanaBasi sawaa, natumai uko njiani sasa. .... salamu nyingi sana umpelekee.
Ever Smiling Kasie.
Juz Mama Ako Alikuja Hapa Daaaahh Nimefarijika Sana
Maneno Ya Mzee Hayo
Ijumaa Ana Kasherehe Pale Nyumban Karibu
Sawa Bhana Mama Angu Ila Hakuna Kitu Kizur Katika Maisha Kama Kumpata Mtu Anae Kufraisha Katika Maisha Yako Respect My Father Wherever U RHahahahahaa sasa unanikaribisha wewe au mualiko naupata kutoka kwake? Nisijeshangaa tunaishia mbezi makabe badala ya maili moja hehehehee
Ever Smiling Kasie.
Mim Mwema Siku Zote Ila SijakamilikaHongera. Ila punguza kumkosea katika namna unayoweza kujizuia. Kila la kheri
SawaManeno meeeengi bila vitendo ni bure tu. Huo unaouita ubinadamu ndio wa kuufanyia kazi.
Nimo katika ndoa sasa ni Silver Jubelee. Watoto watano wanajitegemea.Kwan Na Wew Upo Katika Ndoa Au Bado...??
Sio kweli, nawajua wengi sana tena sana ambao hawafikishi mwaka wanaachana. mpe hongera mshkaji kama wewe yalikuharibikia tuliaWivu au ukweli. Ndoa ya miaka mitatu hiyo bado ni ndoa changa sawa na mimba ya wiki mbili. Kila muoaji huwa na mapenzi motomoto ndani ya miaka mitatu.