Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Najua nina WEWE na hiyo INATOSHA! Wewe ndio siri ya NGUVU YANGU, wewe ndio kila kitu kwenye maisha yangu.. najua nimewahi kukukosea lakini ninachofahamu hata wakati nakukosea bado ulikuwa mwanamke pekee ninaekupenda, hakuna aliewahi kuzidi thamani yako, na nakuaminisha leo
HATATOKEA!!
Vingine ni ubinaadamu tu lakini haina maana kuna mbora zaidi yako, Huenda ubinaadamu huohuo kwa mwingine angeshindwa na kunikatia tamaa, lakini HUKUNIACHA, ulikuwa upande wangu, hata pale nilipokupa huzuni bado
FURAHA YANGU ndio kitu cha kwanza ulichokiangalia, kama MAMA anavyomtizama mtoto ndivyo ulivyokuwa ukinitazama, na bado hukuacha kuniombea kwenye kila ninalolifanya, wewe ni wa thamani kubwa sana kwangu, nashindwa jinsi ya kumshukuru
MUNGU kwa uwepo wako ndani ya maisha yangu, nilipofeli ulikuwepo, ninapofaulu upo na hata Dunia yote inizomee najua nina mtu ambae thamani yangu bado ni KUBWA mbele ya macho yake ambayo haitaka ishuke hata mbingu na ardhi vigeuke,
Katika anniversary yetu hii leo tukiwa tunatimiza miaka 3 ya ndoa yetu, bado
Sura ya kwanza inayonijia machoni kila ninapoamka ni YAKO!!
Mapenzi yangu kwako ni ya pekee kiasi hata nakosa cha kufananisha nayo....!!!!
Nakupenda Sana Mke Wangu