Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

Nakupenda sana mke wangu (miaka 3 katika ndoa)

acha maneno mengi wewe....unatuambia sisi ili tufanyeje,kama umefurahia miaka hiyo,mpe hela,kula papuchi ulale sio kutujazia server.
 
acha maneno mengi wewe....unatuambia sisi ili tufanyeje,kama umefurahia miaka hiyo,mpe hela,kula papuchi ulale sio kutujazia server.

Server za JF hua zinapata shida sana aisee!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka mitatu michache sana mkuu kuweza kupima ubora wa mapenzi yenu kila mmoja kwa mwenzake
Kwa hiyo mnataka asifurahie ndoa yake, aishi kwa machale hadi ndoa ifikishe miaka 20 ndo aanze kuenjoy? What if wasipofikisha hiyo miaka 20? Kuna watu ndoa zao zilivunjika masaa machache after kufungwa, wao wanahesabu miaka, je sio baraka ya kumshukuru Mungu? Na usipoiona siku moja katika ndoa kuwa ni neema, unadhani ndo utafikisha miaka 20 kwa furaha? Kila siku moja ndo inakuja kutengeneza hiyo miaka 20+, yes labda ni miaka michache kwa kuhesabu ila hata maandiko yamesema tushukuru kwa kila jambo. Na usipojifunza kuthamini na kufurahia miaka 3, hata hiyo 20 utaona kama ni kitu cha kawaida tu, kumbe ni kwa neema tu. Muacheni tu amfurahie mke wa ujana wake, ndo inampa na motisha ya kufight zaidi kuijenga ndoa yake imara . Mbona biashara zenu zikisimama tu hata kama ni ka mwezi, mnazifurahiaaa na kuzitangaza, si mngesubiria zifikishe miaka mingi ndo mzifurahie?

Ambiele Kiviele, nimejisikia raha sana as if nimeandikiwa mimi jamani. Mungu azidi kuwatunza na kuwapigania. Endeleni kuinenea mema ndoa yenu, na ndivyo itakavyokuwa sawasawa na maneno yenu.
Acha kujidanganya na kutangazia watu eti unampenda mkeo. Miaka mitatu usiite ndoa. Subiri ifike miaka ishirini ya ndoa ndio uandike tutakupongeza. Wakati huo matiti yatakuwa yamekongoroka, meno nayo ya kuhesabu, atakuwa na kitambi, hapo ndio utwambie hiyo shine yako.
 
Kwa hiyo mnataka asifurahie ndoa yake, aishi kwa machale hadi ndoa ifikishe miaka 20 ndo aanze kuenjoy? What if wasipofikisha hiyo miaka 20? Kuna watu ndoa zao zilivunjika masaa machache after kufungwa, wao wanahesabu miaka, je sio baraka ya kumshukuru Mungu? Na usipoiona siku moja katika ndoa kuwa ni neema, unadhani ndo utafikisha miaka 20 kwa furaha? Kila siku moja ndo inakuja kutengeneza hiyo miaka 20+, yes labda ni miaka michache ila hata maandiko yamesema tushukuru kwa kila jambo. Na usipojifunza kuthamini na kufurahia miaka 3, hata hiyo 20 utaona kama ni kitu cha kawaida tu, kumbe ni kwa neema tu. Muacheni tu amfurahie mke wa ujana wake, ndo inampa na motisha ya kufight zaidi kuijenga ndoa yake imara . Mbona biashara zenu zikisimama tu hata kama ni ka mwezi, mnazifurahiaaa na kuzitangaza, si mngesubiria zifikishe miaka mingi ndo mzifurahie?

Ambiele Kiviele, nimejisikia raha sana as if nimeandikiwa mimi jamani. Mungu azidi kuwatunza na kuwapigania. Endeleni kuinenea mema ndoa yenu, na ndivyo itakavyokuwa sawasawa na maneno yenu.
Miaka mitatu ya ndoa ni sawa na watu wanaoanza safari wanatembea masaa matatu. Hapo hawawezi kudai kupongezwa na watu wanaowakuta njiani. Ndio maana nilimwambia kuwa anajidanganya. Kwani wanaokuwa wake nyymba ndogo unafikiri ni wajinga?.Hata wao pia walikuwa wakizipenda ndoa zao hizo changa za miaka mitatu. Hebu Nipe jibu. Aliyefisha miaka mitatu ya ndoa, na aliyekaa miaka ishirini katika ndoa, ni yupi utakayempa pongezi ya uvumilivu?.
 
Kwa hiyo huyo wa miaka 3 haitaji pongezi ya uvumilivu? Huyo wa miaka 20 unadhani alifikaje kama asingevumilia kila siku hadi afikishe miaka? Mbona kuna watu ndoa zinawashinda ndani ya siku chache tu wanaachana, kwa nini wanandoa wakifikisha mwaka wasifurahie? Kuna watu ndoa zao ni changa lakini zina changamoto kubwa kuliko hata za watu walioishi ndani ya miaka kadhaa. Though nachoamini kwenye ndoa hakuna changamoto ndogo wala kubwa, hiyo ndogo msipoitatua ndoa inaweza kuvunjika . Hivi mtoto wako akifaulu vizuri mtihani wa kumaliza darasa la 1 hutompongeza hadi aje amalize degree?
Kila mwanandoa anahitaji pongezi, hata huyu wa mwaka mmoja anahitaji kupongezwa na kutiwa moyo hadi afikishe hiyo miaka 20
 
Back
Top Bottom