Nakupenda Mamndenyi....

likewise dady!!

Kuna kitu kimoja nilichokuwa najaribu kukifanya,sababu nimezaliwa 19/1 na nikataka na mwanangu awe na tarehe hiyohiyo ila bahati mbaya ni kuwa alinizidi mwezi mmoja na sikuweza kusubiri tena mwaka uliofuata...
 
Huwa kila siku ninacheka,mkulima wa Ndizi na wewe unaweza kujitokeza mbele za watu na kujiita Tajiri..?? Na sisi wafanya biashara za Mapetrol tujiiteje...???

Nashanga!
Hata sijui huyo The secretary alijigongaje!
Nadhani itakua ni kwa msaada wa akina maji-ma-tall ! Mzizi mkavu with related matter !
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…