Nakupenda lakini umechelewa

Nakupenda lakini umechelewa

Hao wazulu kimeo!,walevi na umalaya...lkn mbaya zaidi ulifanya maamuzi ya haraka mno....nadhani nafasi yenu kuyajenga mapenzi yenu bado ipo...Hujachelewa.
nashukuru kwa ushauri lakini malaya na walevi hata huko kwetu wapo, nenda katembelee,uwanja wa fisi,kimboka, dar live,ambiance, kangaroo, samakisamaki, ohio, itigi, kahumba, vibers, kilimani, 84 etc halafu niletee mrejesho kuna wazulu wangapi humo
 
Hukumpenda wewe na unaendekeza tamaa! Si ungevuta vuta mda kwanza usikilizie!

Papuchi mpya ushasahau kila kitu, asee mwanaume sio babaako kweli!
 
Back
Top Bottom