Mkuu bora usinge jibu commentduuuuuuuu , hii yote ni wivu ndo unakusumbua wewe hakuna kingine. Anyway fananisha kwa kua sasa mimi na yeye ni mwili mmoja
gud girl
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
Hahahaha kwa hiyo kajianzishia Thread?Daaa ma mods wana raha sana maana huko wana cheka tuu!
Mwl nimezipata. Hahahahaha daa jf kuna vituko sana!gud girl
habari zimfike amu na Kaizer popote walipo
bila kusahau ndugu jamaa na marafiki
wakiongozwa na Ruttashobolwa
Hahahaaaaa vijana wanajiSWITCH ON na AIRTEL!!
Mwl nimezipata. Hahahahaha daa jf kuna vituko sana!
Nimecheka sana daa tafadhali w asijiwekee nyuzi za Tanzia..Loh.... hii taaluma ya multiple IDs ina wenyewe jameni!
Siuzi Mimi wala sitoi bureee unaibanabana italiwa na nyenyereeee.......
hongera walau upumzike kutunga visred.
...nyege mbaya sana...!!
waweza tembea njiani huku ukikata buno..lols
Njoo nakutafuta siku mingi kumbe uko corner hii