Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

Nakupenda Jf! Umenipa Hubby~love!.

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari!,..

Nina Furaha Sana sanaaa na Naishukuru kipenzi changu Jf!!.Imenipatia Mme Kipenzi,laazizi anaejua nini thamani ya mwanamke!!.anaejua kujali na kupenda kweli...najisikia kupendwa,najiona mwenye bahati sana.

trust me,jf kuna wanaume wazuri sana waojua kupenda na kuwa na relationshp nzuri!!.

to yo >hubby najua umepasoma hapa,nataka ujue i love u more than yesterday..ur the reason i smile everyday,ur special hubby,love me more nizidi kupagawa!!.

Mahaba ninyongeee mieeee!!,nikafie mbali kwenye kifua cha @_____ __,love u nyang'anyang'a!!.

mnaotafuta hapa wapenzi,msijali mtapata tu,na mlopata hongereni! lolz.....
 
hivi unaficha nini sasa...? hebu tiririka vizuri lini amekuwa mume...?
 
Mhhh? juzi tu ulikuja hapa na lijiuzi kuwa bado unamkumbuka marehemu mpenzi wako, halafu na yule mbongo movie vipi?
Sasa huyu wa Jf kapatikana lini?

Aaaah kumbe hayanihusu.....ngoja mengine nimuachie baba na mama.....!
 
hongera sana ila kuwa makini asijekuburuza kwenye :third: la dunia
 
Hebu nikumbushe manake kisusio na MG za wknd hadi mchana huwa zinaharibu akili yangu. Huyu ndo alifiwa na mwanaume in 6 months, akawa anashindwa kumsahau, akaanzisha sredi ya kutafuta bwana, na sasa amekuwa mume aka hubby?

where the heck is this watu8 boy when i need him?
hongera walau upumzike kutunga visred.
 
Last edited by a moderator:
Wacha wee! Ni muogeleaji,mwimbaji au? Na ndoa mshafunga?yerewii!!
 
leo mmetongozwa
kesho mmelalwa
kesho kutwa mmefiwa
jana mlitaka kuanzisha saccoss ya wapweke
juzi kati mahb sijui kufanyaje!
kheeeeee na mnawatoa wapi wanaume wasiowakunja vizuri mkawa na akili hata za vicoba?
 
Hebu nikumbushe manake kisusio na MG za wknd hadi mchana huwa zinaharibu akili yangu. Huyu ndo alifiwa na mwanaume in 6 months, akawa anashindwa kumsahau, akaanzisha sredi ya kutafuta bwana, na sasa amekuwa mume aka hubby?

where the heck is this watu8 boy when i need him?
hapa ni watu8 tu anayeweza kutusave this disaster!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom