Last edited by a moderator:
atakua kampata leo.,maana juzi alikua anatafuta hata alieachwa,
Hahaaa! Charger imeisha, nikifika home lazima ifike page ya 29!Naona mmeanza unafiki wenu unachoguna nini? Tafadhali msiniharibie penzi langu
tuheshimiane usitake kupiga msamba mbele za watu huku umevaa taulo
Naona mmeanza unafiki wenu unachoguna nini? Tafadhali msiniharibie penzi langu
Chezea trend setter! Trend ya Mmu saivi ni maloveee!Mbona kama mabinti wa hapa mmechanganyikiwa vile..??!!
Thank you baby for protecting me! Mwaaaaaaaah!please respect my wife, nakuheshimu na wewe jiheshimu.
Chezea trend setter! Trend ya Mmu saivi ni maloveee!
yote hii ni wewe!
mfyuuuu zako hebu wacha wenzio wapumue!
roho zinawatoka guts za kufikisha page 480 hawana .basi ndo vurugu tu humu!
Mbona kama mabinti wa hapa mmechanganyikiwa vile..??!!
unaweza kuta huyo mama fay ndio arovera sijui mwanaume gani anajibu kimipasho hivyo
Hebu nikumbushe manake kisusio na MG za wknd hadi mchana huwa zinaharibu akili yangu. Huyu ndo alifiwa na mwanaume in 6 months, akawa anashindwa kumsahau, akaanzisha sredi ya kutafuta bwana, na sasa amekuwa mume aka hubby?
where the heck is this watu8 boy when i need him?
duuuuuuuu , hii yote ni wivu ndo unakusumbua wewe hakuna kingine. Anyway fananisha kwa kua sasa mimi na yeye ni mwili mmoja
ni huyu Hutu
alisema yuko kwenye penzi na bongo movie
akasema anatafuta mwanaume anaejua kuimba
akaja na anatafuta kijana amfundishe kuogelea
achilia mbali ile ya kutafuta bwana wa kumt.ia jlw