Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
Mhhh? juzi tu ulikuja hapa na lijiuzi kuwa bado unamkumbuka marehemu mpenzi wako, halafu na yule mbongo movie vipi?
Sasa huyu wa Jf kapatikana lini?
Aaaah kumbe hayanihusu.....ngoja mengine nimuachie baba na mama.....!
Hahaha daaa lakini anasema kapata wote tuseme hongera.