Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,873
Paroko ...........!!
Sijaelewa mtumishi..bado niko kigangoni
Paroko ...........!!
Sijaelewa mtumishi..bado niko kigangoni
mbona wamepotea hahahaha?
Kwa hio sababu Lara 1, nimebadili mandhari na kuamua kupigwa FREE P! Does it make iy a less shamefull action simply because Lara 1 is doing it?
Kwa hio sababu Lara 1, nimebadili mandhari na kuamua kupigwa FREE P! Does it make iy a less shamefull action simply because Lara 1 is doing it?
Na wewe unatafuta baba Paroko?Mara kuogelea mara kuimba kumbe huku ndio ulikua unaelekea .....
Hongera lakini
Wengine bado ..........!!
Siuzi Mimi wala sitoi bureee unaibanabana italiwa na nyenyereeee.......
mmmmh! hadi huu mwaka uishe tutawajua wote humu team free P
mtunzi kajioa.
Kwa hio sababu Lara 1, nimebadili mandhari na kuamua kupigwa FREE P! Does it make iy a less shamefull action simply because Lara 1 is doing it?
Na mahari yake alichukua nani?
hahahahahahaha Kongosho unanivunja mbavu daaa jamaa aliona hisiwe shida bora kujioa! kwakweli kachukua maamuzi magumu.unewauza, umesababisha wenzako wamejioa.
Mtu ajianzishia sred afu yeye mwenyewe anakuwa mme wake.
You are bad news!
mahari kajilipa azam cola 1, keshainywa.