Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Mara kuogelea mara kuimba kumbe huku ndio ulikua unaelekea .....
Hongera lakini
Wengine bado ..........!!
Bado mimi na wewe,hahaaaa
Mara kuogelea mara kuimba kumbe huku ndio ulikua unaelekea .....
Hongera lakini
Wengine bado ..........!!
loading.......
Nimecheka sana daa tafadhali w asijiwekee nyuzi za Tanzia..
Mmh haya nimejileta,nambie
gud girl
habari zimfike amu na Kaizer popote walipo
bila kusahau ndugu jamaa na marafiki
wakiongozwa na Ruttashobolwa
Bado mimi na wewe,hahaaaa
Mwanawalwa nalekutogwa ....!!love is so sweet when it comes unexpected
mpende hubby wako mwaego
hata kama mume wako alifariki miezi sita iliyopita
sisi sote ni binadamu hatuko kamili
moyo ushapenda maneno ya watu tupa kule
Mwalimu wangu kuna nn hapa?
Dah.....mr loya eti wewe umegundua hapo wa kike kakimbilia wapi?
Teh teh teh
Au ndo ile style ya mke kulikoroga alafu anapotea kwenda kumuita mume aje kusuta watu! (If yu know wora ai miini)
Mwalimu wangu kuna nn hapa?
Navyokuzimikia mpaka nashindwa kutiririka.
Natangaza rasmi kuwa I lovu yuuuuuuu oficialyyyyyyy!
Mmhh....
Woow love u more mupenzi!