ish.... Asa hapa miss neddy kaingiaje? unataka kuniua kwa presha we demu wa kitombi Mentor?
ish.... Asa hapa miss neddy kaingiaje? unataka kuniua kwa presha we demu wa kitombi Mentor?
Kweli.....wacha tujiweke pembeni
Uamuzi mzuri
Uamuzi mzuri
Shem hebu muache wifi yako kidogo leo kanipa zawadi nzuri sana aisee...
In other news, ni makusudi au nini?
Duh! Mdomo wako hauna breki? Usisahau we ni mwalimu wake
Shem hebu muache wifi yako kidogo leo kanipa zawadi nzuri sana aisee...
In other news, ni makusudi au nini?
Mi ni mwalimu wa Sunday School. Mi na ufuska ni sawa na Yesu na Shetani... ukirudia tena kunitusi ntakucharaza bakora makalioni.
Utakuwa mgeni hapo jumuiani kwenu.....we penda penda shetani anakuogopa
Umesahau Mungu ni pendo?