Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

Vipi wale uvccm walioongeza ubeti wa Magufuli kwenye wimbo wa taifa? Hili siyo kosa?
Ukishaongeza ubeti wa Magufuli automatically unakua sio tena wimbo wa taifa.
Wimbo wa taifa unajulikana na hauna ubeti wa Magufuli.
 
Inategemea na mazingira. Zingine kama za uchaguzi au defamation zimaweza kuwa baina ya wanasiasa kwa wanasiasa.
Hii ya hawa vijana wa Bavicha kama walipandisha bendera na kuimba wimbo Chadema,Jaduong msipotoshe huenda wakaozea huko.
Ni kwa UTASHI. Kisheria ndiyo maana jaji wa high court amesema wapewe dhamana.
 
Ukishaongeza ubeti wa Magufuli automatically unakua sio tena wimbo wa taifa.
Wimbo wa taifa unajulikana na hauna ubeti wa Magufuli.
Wimbo wa taifa unatumika ktk matukio mbalimbali. Mfano kqbla Mwakinyo hajapanda jukwaani wimbo wa taifa unapigwa. Timu ya taifa ikitaka kucheza wimbo wa taifa unapigwa.

Sasa Kuna tatizo gani kama wimbo wa taifa ukipigwa wakati bavicha wanapandisha bendera ya chadema?

Ngoja mjuzi wa sheria Tundu Lisu amalize kampeni muone atakavyo isambaratisha hiyo kesi
 
Leo DPP Biswalo Mganga kazuia dhamana yao
Madaraka maelekezo Biswalo ni kiongozi muugwana sana, sina hakika mikono yake anahusika kwa hili. Mifumo na taasis zetu zinapaswa kuwa huru, haya mambo ya teuzi mtihani sana.
 
Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .

Hata Pontio Pilato akifufuka leo hii atashanga kwa ukatili uliopitiliza wa mahakama zetu!!!
 
Ukishaongeza ubeti wa Magufuli automatically unakua sio tena wimbo wa taifa.
Wimbo wa taifa unajulikana na hauna ubeti wa Magufuli.
Hukuona msajili alivyowashukia CDM kwa kuongeza maneno kwenye wimbo wa taifa na kusema Mungu ibariki CHADEMA?
 
Hukuona msajili alivyowashukia CDM kwa kuongeza maneno kwenye wimbo wa taifa na kusema Mungu ibariki CHADEMA?
Sawa, lakini tujiulize Kwenye wimbo wa taifa kuna ubeti wenye maneno "Mungu ibariki chadema "? Hayapo sasa utasemaje ni wimbo wa taifa
 
Back
Top Bottom