Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Jamani Mimi Hili suala limeniumiza sana , watu kuonewa hivihivi bila kosa lolote , kwa yeyote yule mwenye jina la hakimu mwenye kesi hiyo happy Singida naomba niwekeeni hapa na picha yake , niende kidyamsitu kwa Babu uonezi umezidi , huyo hakimu na nani sijui nawapa wiki wawe wamewaachia vinginevyo naenda kwa Bibi pichani hapa chini , Kama hawana familia shauri Yao .
IMG_20200911_205210_5.jpg
 
Jamani Mimi Hili suala limeniumiza sana , watu kuonewa hivihivi bila kosa lolote , kwa yeyote yule mwenye Nina la hakimu mwenye kesi hiyo happy Singida naomba niwekeeni hapa na picha yake , niende kidyamsitu kwa Babu uonezi umezidi , huyo hakimu na nani sijui nawspa wiki wawe wamewaachia vinginevyo naenda kwa Bibi pichani hapa chini , Kama hawana familia shauri Yao .View attachment 1566893
Anayewatesa hawa ni DPP
 
Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Mkuu kila jambo hutokea kwa makusudi, acha wawatese lakini unategemea kwa mateso haya, ndg zao, wazazi, wapenzi na rafiki zao watakipigia ccm kura?
 
Back
Top Bottom