Nakuomba Tundu Lissu wewe binafsi uingilie kati sakata la viongozi wa Bavicha wanaosoteshwa Magereza na DPP anayeitumikia CCM

Kwanini msimwambie Kibatala?

ACT wazalendo wamemtoa Kubenea nyie mnambwelambwela!
John wakati mwingine hua una upuuzi sana. High court imerul hao vijana warudishwe Singida wapewe dhamana. Wewe bila akili unailaumu Cdm nini ?!.

Haya mambo yanakera sema yapo kwa watu unaodhani ni halali yao kuteswa .
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Yani mgombea Urais aache kampeni wakati kina Kibatala wapo? Tusichoshane.
 
John wakati mwingine hua una upuuzi sana. High court imerul hao vijana warudishwe Singida wapewe dhamana. Wewe bila akili unailaumu Cdm nini ?!.

Haya mambo yanakera sema yapo kwa watu unaodhani ni halali yao kuteswa .
Sasa mnataka TAL aache ratiba ya kampeni akafanye kazi ya uwakili kwa bavicha?
 
John wakati mwingine hua una upuuzi sana. High court imerul hao vijana warudishwe Singida wapewe dhamana. Wewe bila akili unailaumu Cdm nini ?!.

Haya mambo yanakera sema yapo kwa watu unaodhani ni halali yao kuteswa .
Lakini Kubatala si ndio jukumu lake?
 
Kama kweli ni kosa lenye dhamana kwa nini hawapewi dhamana. Ni kosa gani wanaloshitakiwa nalo. Hatupendi watu kuonewa hapa Tanzania.
Chagu . Hujui nini ?!
Hao vijana majuzi tu , kama wiki mbili High court imerul wapewe dhamana. Sasa mbona tena danadana ?!.

Usulotaka kutendewa usimtendee mwenzio
 
Jaduong ndio maana nimeandika hatutaki watu waonewe. Kama High Court imesema wapewe dhamana wakili wao anangojea nini kukahakikisha wanatolewa!
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .
Dawa ya kumalizia unyama huu ni kumuondoa mnyarwanda ikulu tumuweke mtanzania mwenzetu
 
Kwani kesi za kisiasa ni makosa dhidi ya nani ?
Inategemea na mazingira. Zingine kama za uchaguzi au defamation zimaweza kuwa baina ya wanasiasa kwa wanasiasa.
Hii ya hawa vijana wa Bavicha kama walipandisha bendera na kuimba wimbo Chadema,Jaduong msipotoshe huenda wakaozea huko.
 
View attachment 1566393

Haiwezekani vijana hawa wasoteshwe jela kwa makosa yenye dhamana kwa sababu ya matakwa ya Biswalo Mganga na waliomtuma , hawa vijana hawana kesi yoyote ya maana ya kufanyiwa unyama huo.

Tundu Lissu tafadhari sana ingilia kati jambo hili wewe mwenyewe binafsi ili limalizike , unyama huu haukubaliki

Natanguliza Shukrani .

Kwani Lissu ameshawai shinda kesi gani?
 
Back
Top Bottom