Nakuja Dar kwa mara ya kwanza

Nakuja Dar kwa mara ya kwanza

Madada wa majini wana kamchezo kabaya wakisikia unatoa sauti ya kutoa mananii yako wanapitisha vidolevyao sehemmu mbaya usikubali

ukithubutu keshoyake inarudi tena ukimkosa huyo utatafuta wenzako

isiwe kwako kabsa hakakamchezo kabaya kabsa
 
Salaaam wana JF!

Pamoja na kuwa nimesoma soma kuhusu Dar es Salaam. Sasa nimepata bahati nakuja huko ijumaa hii, naomba ushauri nizingatie kitu gani, ntafikia kwa ndugu yangu atanipokea stand.

Natokea Kalambanzite huku Rukwa, sijawahi kufika Dar es Salam. Je nije na nini na nini nisibebe?

Asante sana, nataizya sana mkwae (kifipa/mambwe)





Umejikomboa..kuanzia kesho we si wa MKOANI.
 
usije ishia makambako.. mjini maisha magumu
hata huyo ndugu yako anajua ila ndo hasemi
 
usije ishia makambako.. mjini maisha magumu
hata huyo ndugu yako anajua ila ndo hasemi
 
Aisee usisahau kuja na koti la baridi mtumbwi maana mafuriko hayatabiriki kabisaaaa
 
Uje na unga kilo 30, mchele kilo 65, mbuzi watatu na kuku 7. Huku maisha magumu mjomba.

Pia uje na kiingilio cha kupandia daraja la Manzese.

Vile vile usisahau blanket mkuu

Hakika katika Watu, nawe ni mtu kamili aiseeee😕😕
 
Kuwa makini kuna zimwi hilo linatisha kidogo lina matairi mawili bana weee sijui zinatokea wapi ila utazikuta hizo hapo miguuni mwako hayo mazimwi yanaendeshwa na wanywa viroba unaweza ukafika dar badala ya kufika nyumbani ukafikia muhimbili kukatwa miguu
chonde chonde huku mjini hakuna cha bure hata ukiona hela chini usiokote imewekwa hiyo

Nilihisi kusikitika pasipo kuona komenti yako kipande hii
 
uje na ugali wako kabsa wenzako walifia njiani kwa njaa baada ya kuambiwa vile vyakula vya njian sio vyakula halal
 
Nimekuja ku realize population kubwa ya watanzania wamezaliwa vijijini interior waliopo mjini kwa wingi.
 
Ukija utakuta taa barabarani zinajiwasha zenyewe ifikapo jioni,usije uliza nani anaziwasha na kuzizima,karibu sana.
 
Tutenzitaa.utasailila usu nachilanda maana inyenyi zya tala sana pa npwanyi
 
Wakuu nimeingia hapa hubungo! Mweee ndio kuko ivi? Hua huku hamlali? Kwetu saizi ni wachawi tu, huku mnatembea wengi kama mchana mweee.

Nikipumzika nitapitia majibu ya post yangu asubuhi
 
apo hubungo co...kesho nishtue nikupeleke anapoish mbunge wko
 
Back
Top Bottom