ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,118
- 5,368
Wakuu nimeingia hapa hubungo! Mweee ndio kuko ivi? Hua huku hamlali? Kwetu saizi ni wachawi tu, huku mnatembea wengi kama mchana mweee.
Nikipumzika nitapitia majibu ya post yangu asubuhi
karibu mkuu... upande gari kuja manzese... ushukie tiptop utanikuta nachoma mishkaki jioni.... nitakupa miwili ya bure kwa ajili ya kukukaribisha