Ukitaka wanawake hata wa buku jongea pale uwanja wa fisi ila usalama ni mdogo sana maana muda wowote watoto wa mbwa wanamwaga ugali na mboga.
Usisahau kondom maana wafipa mnapenda sana pombe, najua ndugu yako atakupeleka bar siku ya kwanza kukuuliza stori za Mpanda, huko utakuta mabinti wanaomeremeta lakini wana wadudu wanaonyavuanyavua kwenye damu. Na ukumbuke kuitumia hiyo kondom. Wabara wanapapatikiwa sana huku Dar, jihadhari hawa sio wanawake ni miwaya, kama hutapata ngoma lakini shilingi hutabaki nayo
Zina manii ya kuku
Je na gunia lipi kgtibaijuka ama kg ngeleja??Si umeshawahi kusikia escrow?ni pm nikuelekeze zinapopatikana hizo pesa,ila kuwa makini nijulishe unakuja lini nikusubiri hapa stendi,.