We badala udeal na huyo anayeku dip unahangaika na mambo ya watu!? Ngoja apeperuke!
werevu tumenga'amua zamani, vingine ukiweka hadharani unaleta unhealthy competition bure
Usirudi tena hapa, baba yako atakuchalaza fimbo.
muulize vizuri ajieleza, angejua tupo stable na tumejipanga, aache kazi afanye kazi
ok anko single manoah.... Ntakuwa tu nakatiza katiza maeneo haya... Teh teh teh
muulize vizuri ajieleza, angejua tupo stable na tumejipanga, aache kazi afanye kazi
smelling somethin fishy bout uzi huu...ngoja niendelee na uchunguzi
yap baby, c alipita hapa mda fulani mwenyekiti, were r u, naona pingamizi zishaanza kabla hata nia haijatangazwa, muongozo pls
hakuna aliyedip ni kupiga tu hapa, labda sms