Naku......................mano ah

Naku......................mano ah

Ilikua kama bahati tu Blue G kwani wewe ukipewa fuko la dhahabu utakataa?
Khaaaaaaaaa we manoah mi sikuwezi yaani una visingizio ka nini.kwa hiyo alivyokuanza na we ukaingia kiulaini kama kibogoyo kutafuna maini auuu?
 
Last edited by a moderator:
Blue G bora umekuja huku, kule kwenu sipawezi ni pa wakubwa tu, kyanaKyoMuhaya ...... mi sijui kitu

Cheki kigugumizi kilivyokushika,haya sa hivi ndo umekuwa mtiifu bora umetoka kule huku ndo kunakufaa wewe,ila nitakuita nikiona kitu kinachokufaa na manufaa kwako umesikia mdogo wangu mzuri eeeeehhhh?
 
Sawa kaka Blue G , usiniite mie ni wa humu humu tu. Huko kwenu mmmh...

Haya bana nimekusoma,enjoy your weekend maanake ndo hiyyyyyoooooo inaanza taaraaaaatibu.Ila angalia usijaribu kunywaaa sawa we bado mdogo usije ukapata hangover kwa bia moja tu.Kunywa malta na soda sawa?
 
Weekend nitakua na sukalimama. mie, sinywagi pombe nakunywaga soda ya fanta black au mirind black ni tamu izooo kaka acha tu, na wewe kaka angali usije maliza ela yako yotee

Vizuri sana hata mi napenda sana hizo soda ila huyo sukalimama ndo nani vile mbona simfahamu?Sitotumia hela zote nitakuwa makini saaana nitautumia ushauri wako.
 
Kuna mwalimu shuleni hua wana muita sugarmama mie nimeita tu kwa kiswahili, sawa kaka ubakize na akiba ya kutosha.

Sasa hii weekend utakuwa na huyo suga mama kufanya nini?au anakufundisha toition?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom