Naku......................mano ah

Naku......................mano ah

marahabaaaaaa wanangu.............(ila sitaki shkamoo zenu.......tena mniite "aunt paloma...mie sijaweza bado kuwazaa...mitoto mizee kabisa nyie) manoah + Suprise = best kapo ya kufungulia mwaka 2013 (akoding to me)

🙂bathbaby🙂

zimefika mamamdogo

Tutakuletea na zawadi ya light, usijali Paloma nakupenda sana siwezi kuvunjia heshima.
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nauliza tu.....atakuwa huyu ndo yeye eeh?
mi nipo, ila mbona fasta kama ya mkeka!!!!!

we huoni pin gamizi nyingi, mama mzaa chema kashatoa go ahead, tunasubiri nini tena
 
Asante aunt Paloma tunakupenda sana aunt
marahabaaaaaa wanangu.............(ila sitaki shkamoo zenu.......tena mniite "aunt paloma...mie sijaweza bado kuwazaa...mitoto mizee kabisa nyie) manoah + Suprise = best kapo ya kufungulia mwaka 2013 (akoding to me)

🙂bathbaby🙂
 
Last edited by a moderator:
Okey! Mungu Mwenyezi Akubari Jioni hii ya leo, na kukufanyia wepesi katika majukumu yako. I love u
mpenzi ngoja nikaanze maandalizi, endelea to mek them blv hatujakutana bahati mbaya kama wale wengine, ntakurudia
 
Licha ya yote... Hongera bwana manoah kwa kupata Suprise katika siku hii uliyoibuka man of the match hapa JF-CC
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom