Nakata Rufaa: Rev.Masanilo Atoke Jela

siku hizi kuna vi mod yaan kama viko field vile...vinafanya majaribio.....ajabu sana

tunaomba Rev arudishwe fasta.....

mtu kama kashaga anafanya nini huku..hawa ndio wa kufungia kabisa ..wanaleta vurugu humu na kuchafua janvi

Hapo tu umenichekesha na kuniacha hoi
 
Umekosa kazi wewe! hivi mtu mwenye akili zake timamu anaweza kulalamika kuhusu kufungiwa kwa Masanilo? yule jamaa anajulikana kwa matusi yake na kejeli kwa dini za wenzie, labda tabia zenu zinafanana ndio maana una lalama hapa kama mtoto.

mkuu hii peke yake haiwezi kusababisha ban, au umepitiwa, jamaa kakutibua.
 
Wakasema mfungulie baraba ili tumsulubishe mfalme wa mayahudi.naomba nimpokee ban yake na badala yake nifungie mimi kwa huo mda aliobakiza.
 
Wakasema mfungulie baraba ili tumsulubishe mfalme wa mayahudi.naomba nimpokee ban yake na badala yake nifungie mimi kwa huo mda aliobakiza.
Haya.....teyari ushapigwa BAN.......na utakuwa nje ya uringo wa JF kwa miaka 2......mimi ni Mod NO 7
 
siku hizi kuna vi mod yaan kama viko field vile...vinafanya majaribio.....ajabu sana

tunaomba Rev arudishwe fasta.....

mtu kama kashaga anafanya nini huku..hawa ndio wa kufungia kabisa ..wanaleta vurugu humu na kuchafua janvi
On training job wanaangalia wingi wa posts hata wewe endelea tu siku moja utasitukia umekuwa Mod bila kuangalia historia yako ya nyuma, kwa hiyo kama ulikuwa na bifu na mtu hapo ndipo pakumalizia.
 
i really miss this Rev.
Nilikuwa napokea challenge nyingi sana kwake ila i appreciate him the most.

Afunguliwe Rev jamani.

Mohammed Shossi alikuwa akiratibu mpango wa kumlisha Rev BAN
 
Back
Top Bottom