Mkuu PJ
unajua kitu kinachowashobokeza mabinti wasiofundwa vyema ni MPINI.
sasa ameona matokeo yanavyompelekesha puta buzi lake.
USALITI ni jambo baya sana
QUOTE=The Finest;1200089]Jukwaa lile la kule leo watanisamehe maana niko kisiasa zaidi leo
Tanzania kwanza...Mapenzi jioni!..tena mapenzi yananoga sana kama chadema inapeta!...pole nakaaya, utakuta nanihiino hainogi kabisa leo...!:wave:hahaha mie pia wanisamehe kule sitaingia kabisa mpaka nione mambo ya nchii hii yanaendaje
Najaribu kuwaza Nakaaya Sumari atakuwa na hali gani kwa sasa, hasa baada ya kuanza kushuhudia kwa macho yake maana halisi ya Peoples Power, nakushuhudia mabesti zake almost wote aliowatelekeza wakiingia mjengoni!!
Jukwaa lile la kule leo watanisamehe maana niko kisiasa zaidi leo
dada yetu alidanganywa na mkwere she didnt know the meaning of peoples power when comes to changes te te te te te teh kwani mkwere alikuonga sh ngpi dada?
Huwezi jua!!! Labda aliahidiwa viti maalum, au hata u-DC!!!! Vezi kua bana...