Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Kijana acha uwoga mikasa kama iyo watu tumeshaipitia cha kukushauri nenda polisi waelezee kila kitu kesi ndogo sana iyoHapo hakuna kesi, Nenda polisi au serikali za mtaa, yeye ana ushahidi wa video ila na wewe una ushahidi wa ujumbe wa maandishi kuwa anatishia usalama wako.
Hapo ni uoga wako tu, ukienda polisi au serikali za mitaa na huo ujumbe basi mambo kushnei, hakuna kesi kwasababu hukumbaka, ni hiari yake hvyo kesi hakuna.
Chukua hatua ili upate vitu vyako usepe, unajitesa akili wakati mambo yako wazi.
![]()
![]()
![]()
![]()
Humjui zanana juisi
Nilisema mimi huyu kashasambaza upendo kwa mke wa mtu sasa anawaza jinsi vimiminika vya moto vya njemba 3 vinatakavyo shuka mpk kwenye rectum![]()



NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA KWA WALE MSI00NA...
MPK JI0NI NITAWAPA MREJESH0, KWA KIASI MAMB0 YANAMEKUWA BULL BULL..
MNA0P0NDA MIE KUTUMIA MKONG0 NI WAPUUZI SANA,KILA MTU HUMU DUNIANI ANA KAUPUUZI KAKE,(ila situmii tena)
NIMEWAPA STORY NZIMA BILA KUFICHAFICHA MAMB0...
WENGINE MNA0SEMA NIMELIWA PIA NI WAJINGA INAMAANA HAMKUS0MA VIZURI,NANI KASEMA NIMELIWA..?
KUNA WATU WAMET0A USHAURI MZURI SANA HUMU NA NDI0 NIMEUFANYIA KAZI JAP0 NIMEJIT0A UFAHAMU...(BIG UP JAMIIFORUMS) MAMB0 YA KUPEANA USHAURI HAKUNA INSTAGRAM WALA FACEBOOK ILA HUKU JF UNAP0NDWA,UNATUKANWA ILA NA USHAULI UNAPEWA...
ILA Y0TE KWA Y0TE MKE WA MTU SUMU,VIJANA KAMA UNAJUA UNATEMBEA NA MKE WA MTU ACHA YATAKUKUTA MAKUBWA ZAIDI YA YANGU.. IMAGINE NISINGEENDA NUNUA CHAKULA INGEKUWAJE??WANGENIKUTA NDANI MULE DAH SAA HII MALINDA YANGU YANGEKUWA YAMEFUMUKA,NAKUNYA OVYO,TAK0 L0TE LAINIIIIIII,NI PWAAA PWAAA PWAAAA...
KUNA MI WATU INAJADILI MIMI KUANDIKA 0 BADALA YA o Hahah YANI ZER0 KWENYE o PIA NI LA KUKASIRIKA...OVYOO KABISAA...
KWA WALE WASHENZI MLI0SEMA HII NI CHAI MTAJUA WENYEWE,MLITAKA NISEME (wale jamaa walinikuta wakanila tak*) BASI HAP0 NDI0 MNGESEMA HII SI0 CHAI...PUMBAVU
ALL IN ALL NIMEJUTIA HILI NA HALITAJIRUDIA KABISA...




Kwa maelezo ya jamaa huyo dingi lazima atakuwa na SMG ndani he has jamaa WA karate wanazo? Msimpotoshe jamaaImekwisha hiyo mzee kagongewa na kisasi hapati. Kama una hela hata laki 3 tu jikomboe na wewe. Tafuta na wewe wahuni miraba na kareti kama Sita,ingia nao kwa kishindo pale na ndinga ya kubeba vyombo. Pasua wewe ukiwa katikati mtu akuguse
Kwa maelezo ya jamaa huyo dingi lazima atakuwa na SMG ndani he has jamaa WA karate wanazo? Msimpotoshe jamaaImekwisha hiyo mzee kagongewa na kisasi hapati. Kama una hela hata laki 3 tu jikomboe na wewe. Tafuta na wewe wahuni miraba na kareti kama Sita,ingia nao kwa kishindo pale na ndinga ya kubeba vyombo. Pasua wewe ukiwa katikati mtu akuguse
Kwa maelezo ya wadhifa WA Mzee ni lazima atakuwa na chumba ndani sasa atamuogopa vipi huyo bwana mdogo? Hata aende WA washkaji zake 50 Mzee akipiga moja Tu juu hakina atakaebaki Tu. Cha kumshauri jamaa shame Tu mji asilete ujuaji.Hii ndio njia rahisi kwangu naona na hata mzee anaweza akamuogopa mshikaji
Watoto watatu katoa wapi?Yule bb ana watoto watatu??!
Nilidhani zanana ndio huyo bibie wa jogging asubuhi Afu anapitia kwa mchizi kugongwa cha morning gloryWatoto watatu katoa wapi?
SMG kwa ajili ya kulindia mke tu?. Wenye chuma ni wale wenye hela. Chuma ni kwa ajili ya kujilinda mwenyewe na pesa zako, hawana hata mawazo ya kumvizia mke kwa mtindo huo. Huyo mzee bwege hana hicho kituKwa maelezo ya wadhifa WA Mzee ni lazima atakuwa na chumba ndani sasa atamuogopa vipi huyo bwana mdogo? Hata aende WA washkaji zake 50 Mzee akipiga moja Tu juu hakina atakaebaki Tu. Cha kumshauri jamaa shame Tu mji asilete ujuaji.
Wew umeongea vyema kuwa usiingie ligi na mwenye pesa Kuna watu huwa wanajiona San ,mwenye pesa anaweza kukufanya lolote pmj na kuwa na hakiMpigie mzee mwambie kila kitu. Mwambie dada hakukuambia kitu
Muombe.msamaha yaishe.
Hili swala ni la kumaliza kirafiki, wanao kudanganya eti tafuta mwanasheria usijaribu. Wewe kapuku unaanzia wapi kuingia ligi na mwenye pesa?