the-sniper
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 168
- 239
Umeongea kiume sana na umemaliza yote kwenye hilo.Asikuongopee mtu sista, mwanaume akusamehe hicho kitu kwakuomba msamaha[emoji23][emoji23][emoji23], labda sijui awe Mungu kamwambia mwenyewe. Lasivyo, ni mtu akae muda mrefu sana asahau hilo jambo na maumivu ila still akiibuka maumivu yanamuanza upya vilevile. Mwanaume anasubiria mpaka watoto wanafikia miaka 30 anafungua kesi ya mtoto sio wake maana mkewe alicheat miaka 30 iliyopita sembuse hiyo ya juzi[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani that is from a man's perspective, usitegemee hata siku moja asahau hicho kitu labda awe amemshinda kiuchumi jamaa hivyo atakuwa hanachakumfanya mbali na hapo unampeleka jamaa kwenye kilio chake. Wanaume wanasemwa hawana grudges ila kwahili I assure you hakuna mwanaume asiyeweka grudge na litamchoma hata baada ya kupata kisasi chake ndio maana wengi huishia kujiua hata baada ya kulipiza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubali tu wana wacheze na hayo makalio kwa muda [emoji1787][emoji1787]...afu wanakupakia mkongo mamaee[emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣Wakifika 10 tayari hao ni panyaroad
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka kifalaMleta mada Mdigokhan kwa nini unapOandika unatanua 'o' unataka tukueleweje? Au ndiy0 c0de tujiongeze?
Arudi tu kwa "mume" wake hakuna namna 😅😅😅
Kuoa hamtaki, mnataka kupiga, kubebesha mimba na kukimbia. Mzee ana akili sana. Kongore kwake
Usinga ni aina ya uchawi wanaomiliki wasambaa. Uchawi huu wengi wanawawekea wake zao ukigusa unanasa. Yani ukitombaa unakaa juu yake au unakufa. Una sifa zake nyingi mimi ni mchaga mambo haya wapi na wapi watafut wa Tanga wanayajua vyema. .Usinga kivipi mkuu hebu funguka vizuri hapo.
Hao mademu wa nini ukiwala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna utata apaHayaaaaa wambele wote muiname,wanyuma wapate kuona.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah!!Mdigo nakwambiajeeee?Umeyakanyaga,na Mm ndo mzee mwenyewe yan kwa kifupi sana lazima nikutoe marinda.