Uwongo kaka..Ngoja nijazie jazie kumbe yule mzee alikua ni mzee wa kizenji bwana na ule ulikua ni mtego ila jamaa atolewe masega na mwisho wa siku mzee alipanga njama na akafanikiwa kumtoa jamaa masega hivi mpaka dakika hii tunakwenda mitamboni ndugu yetu hana masega na amejiunga rasmi na kikundi haramu cha kataa ndoa akiwa kama mweka hazina wao
Mahangaiko yote hayo na nini nae huyo mzee😂😂Sijui kitachotokea,ila story yako imenikumbusha Tanga mitaa ya chuda nilipataga hifadhi kwa workmate wakati nimeenda kuanza kazi baada ya chuo. Ni zile nyumba za siku nyingi,kuna mdingi wa makamo ila mswahili alikua ndo mwenye nyumba nae anaishi chumba kimoja na mke wake ni bonge la kisu mwarabu shombeshombe hivi. Sasa mimi nilikuaga namtamani sana, na alikuaga ni dem anaependa story. Siku moja tumetoka job jumamosi mida ya sa nane tukakutana na father house akasema anasafiri atarudi baada ya kama siku 3. Nikamwambia jamaa yangu kumbe huyu mzee huwa anasafiri anamuacha manzi? Hapo akili ya kujilia usikuusiku ikaja. Jamaa yangu akanambia najua akili yako,ila usithubutu maana huo ni mtego hata mimi alinifanyia sana pindi nimehamia na hadi leo anafanyaga mara mojamoja. Nikamuuliza anafanyaje? Akasema ngoja utaona. Basi siku hiyo tukatoka jioni tukaenda bar moja inaitwa nyinda ipo mitaa ya juu tu na home,jamaa yangu akanambia subiri hadi mida ya saa sita hivi ndo turudi home. Kule geto tuliacha taa inawaka huku tumefungulia mziki. Kweli mida ya saa sita tukarudi,jamaa akanambia tutege sehem kwenye giza tusionekane. Basi kweli tukaona mtu anaenda dirishani afu kama anaskilizia then anatoka anaenda nyuma ya nyumba,baada ya kama dak 15 anarudi tena. Mimi akilini nikahisi mwizi, ndo jamaa akanambia yule ni faza hausi. Ndo mambo yake hayo analinda mali kujua kama kuna anaemgongea mke wake. Basi tukaenda ile tunatokeza hivi tunakutana nae akaanza kuzuga eti karudi mda ule toka safari alienda na kugeuza. Hapohapo akamgongea mke wake nae akazama ndani. Nilimdharau yule mzee balaa kwa ule utoto alokua anafanya 🤣😂😂
Weka vitu mzee baba...
Kwa kuwa stori ipo MMU tunajua tu huko mbele mbele kuna suala la kukutanisha vikojoleo
Na bado atagongewa tuMahangaiko yote hayo na nini nae huyo mzee😂😂
Tena wahuni wakishajua michezo yake wanamvizia tu kwisha kaziNa bado atagongewa tu
Sijui kitachotokea,ila story yako imenikumbusha Tanga mitaa ya chuda nilipataga hifadhi kwa workmate wakati nimeenda kuanza kazi baada ya chuo. Ni zile nyumba za siku nyingi,kuna mdingi wa makamo ila mswahili alikua ndo mwenye nyumba nae anaishi chumba kimoja na mke wake ni bonge la kisu mwarabu shombeshombe hivi. Sasa mimi nilikuaga namtamani sana, na alikuaga ni dem anaependa story. Siku moja tumetoka job jumamosi mida ya sa nane tukakutana na father house akasema anasafiri atarudi baada ya kama siku 3. Nikamwambia jamaa yangu kumbe huyu mzee huwa anasafiri anamuacha manzi? Hapo akili ya kujilia usikuusiku ikaja. Jamaa yangu akanambia najua akili yako,ila usithubutu maana huo ni mtego hata mimi alinifanyia sana pindi nimehamia na hadi leo anafanyaga mara mojamoja. Nikamuuliza anafanyaje? Akasema ngoja utaona. Basi siku hiyo tukatoka jioni tukaenda bar moja inaitwa nyinda ipo mitaa ya juu tu na home,jamaa yangu akanambia subiri hadi mida ya saa sita hivi ndo turudi home. Kule geto tuliacha taa inawaka huku tumefungulia mziki. Kweli mida ya saa sita tukarudi,jamaa akanambia tutege sehem kwenye giza tusionekane. Basi kweli tukaona mtu anaenda dirishani afu kama anaskilizia then anatoka anaenda nyuma ya nyumba,baada ya kama dak 15 anarudi tena. Mimi akilini nikahisi mwizi, ndo jamaa akanambia yule ni faza hausi. Ndo mambo yake hayo analinda mali kujua kama kuna anaemgongea mke wake. Basi tukaenda ile tunatokeza hivi tunakutana nae akaanza kuzuga eti karudi mda ule toka safari alienda na kugeuza. Hapohapo akamgongea mke wake nae akazama ndani. Nilimdharau yule mzee balaa kwa ule utoto alokua anafanya![]()



wazee wengine kama watoto sasa si angeish nyumba ya peke yake na mkeweMtu mzima alindwi/achungwi, ni kosa kubwa sana. Kuna dada mmoja mmewe ni mkali anamlinda lakini asubuhi huyo dada anaamka mapema kufanya mazoezi(jogging) anapita kwa mwamba anapata dozi mapema alafu anarejea home kama katoka mazoezi. Huu mchezo kaufanya mpaka jamaa yangu alipoanza kuishi na KE wake ndio ukakoma.Tena wahuni wakishajua michezo yake wanamvizia tu kwisha kazi
Nawa uso na maji baridi 😂Yaani naangalia nione japo anatype olaaa na nina usingizi balaa
Kudadeki, af mtu ukimchunga sana ndio anakukomoa.Mtu mzima alindwi/achungwi, ni kosa kubwa sana. Kuna dada mmoja mmewe ni mkali anamlinda lakini asubuhi huyo dada anaamka mapema kufanya mazoezi(jogging) anapita kwa mwamba anapata dozi mapema alafu anarejea home kama katoka mazoezi.
Nawa uso na maji baridi 😂
Lazima akukomoe hakuna anaependa kuchungwa chungwa, yule dada nikimuonaga na alivyo mpole ndio naamini mtu akiamua kufanya jambo lake atafanya tu hata umlinde vipi.Kudadeki, af mtu ukimchunga sana ndio anakukomoa.
Hahaa nitaikuta asubuhi na mapema
Dawa yake unakaa na maji ya moto chumbani ukishajua yupo dirishani tu unamwagia yabl uso fasta.Sijui kitachotokea,ila story yako imenikumbusha Tanga mitaa ya chuda nilipataga hifadhi kwa workmate wakati nimeenda kuanza kazi baada ya chuo. Ni zile nyumba za siku nyingi,kuna mdingi wa makamo ila mswahili alikua ndo mwenye nyumba nae anaishi chumba kimoja na mke wake ni bonge la kisu mwarabu shombeshombe hivi. Sasa mimi nilikuaga namtamani sana, na alikuaga ni dem anaependa story. Siku moja tumetoka job jumamosi mida ya sa nane tukakutana na father house akasema anasafiri atarudi baada ya kama siku 3. Nikamwambia jamaa yangu kumbe huyu mzee huwa anasafiri anamuacha manzi? Hapo akili ya kujilia usikuusiku ikaja. Jamaa yangu akanambia najua akili yako,ila usithubutu maana huo ni mtego hata mimi alinifanyia sana pindi nimehamia na hadi leo anafanyaga mara mojamoja. Nikamuuliza anafanyaje? Akasema ngoja utaona. Basi siku hiyo tukatoka jioni tukaenda bar moja inaitwa nyinda ipo mitaa ya juu tu na home,jamaa yangu akanambia subiri hadi mida ya saa sita hivi ndo turudi home. Kule geto tuliacha taa inawaka huku tumefungulia mziki. Kweli mida ya saa sita tukarudi,jamaa akanambia tutege sehem kwenye giza tusionekane. Basi kweli tukaona mtu anaenda dirishani afu kama anaskilizia then anatoka anaenda nyuma ya nyumba,baada ya kama dak 15 anarudi tena. Mimi akilini nikahisi mwizi, ndo jamaa akanambia yule ni faza hausi. Ndo mambo yake hayo analinda mali kujua kama kuna anaemgongea mke wake. Basi tukaenda ile tunatokeza hivi tunakutana nae akaanza kuzuga eti karudi mda ule toka safari alienda na kugeuza. Hapohapo akamgongea mke wake nae akazama ndani. Nilimdharau yule mzee balaa kwa ule utoto alokua anafanya 🤣😂😂